hatuwezi jadili jambo bila ushahidi sasa nashindwa kukulewa kwanini unanibana nisiweke citatWewe unaleta hadithi za Biblia halafu unasema ndio reference!
Huna tofauti na mwislamu anayeleta Quran, kama reference.
Huna tofauti na myahudi anayeleta Torah, kama reference.
Huna tofauti na mhindu anayeleya The Vedas, kama reference.
Hii ni Circular reasoning fallacy.
we cant run a debit like we are in primary schoolKwa hiyo unamwamini Yesu kwa vile tu majority wanamwamini.
Hii ni logical fallacy inaitwa Popularity Fallacy(Argumentum ad populum)
The popularity fallacy (argumentum ad populum) is an informal logical error claiming that a premise is true or good simply because many people believe it or do it. Also known as the bandwagon fallacy, it wrongly equates popularity with truth or validity, ignoring evidence in favor of widespread, but potentially wrong, consensus.
Ila hapo kwenye mateso blood ni kweli tunateseka daaahMatatizo hayawezi kuwa sehemu ya uanadamu kama Mungu mwenye upendo angekuwepo mkuu.
Swali la msingi:
Tunafundishwa Mungu aliumba wanadamu ili wamtukuze. Sasa kwanini aliamua kuwaweka kwenye mateso ya dunia? Angekaa nao huko mbinguni bila kuumba dunia si wangemtukuza huko?
Si ndio atajionea mwenyeweHawa majaa wapo hapa kutuchanganya tu... π€£π€£π€£π€£π€£ππ
Kuna mmoja kasema kama uamini Mungu hayupo basi mauti anakuja utajionea π€£π€£π€£π€£ full kutishana
Hapana mkuu ndo mana mimi napita na wote wawili wote nawafatilia..Na tutawatisha mpaka muhame huko kusikojulikana!
Mungu amewapa akili ili mu solve situations kama hizo, unataka tena aje kuwawekea na umeme πIla hapo kwenye mateso blood ni kweli tunateseka daaah
Just imagine hili joto alafu umeme umeisha oaa weeeh so poa ujue
Nyie π€£π€£π€£π€£πππ haya maswali mnawaza nini jamniiii...Mzazi wako usipomuheshimu anapoteza nini? Ukimuheshimu anafaidika nini?
Mke wako usipomuamini au ukilala nje anapungukiwa nini? Ukiwa na michepuko anapata shida gani?
Hutaki kusema ila moyoni una shuku! Hii pia ni dhambiπ€Hapana mkuu ndo mana mimi napita na wote wawili wote nawafatilia..
Mi stki mauti yanifike alafu nikawa naulizwa kwann ulikua unasapoti mada za ajabu...
Ndo mana nipo nasoma kimya kimya staki kesi πππππππ
Tunawaza kuchepuka tu ata sielewi bongo lalaπ€Nyie π€£π€£π€£π€£πππ haya maswali mnawaza nini jamniiii...
Au ukiwa na mshangazi unafaidika nini, au unapata shida gani...π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€π€π€π«΅π«΅π«΅π«΅
π€π€π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Daaaah ndo.mana tumepewa akili ddaaaah aisee umejibu kitaalamu sana ...Mungu amewapa akili ili mu solve situations kama hizo, unataka tena aje kuwawekea na umeme π
Mimi nashangaa tu kwa nini mtoa mada ameamua kuongea kiingerezaHapana mkuu ndo mana mimi napita na wote wawili wote nawafatilia..
Mi stki mauti yanifike alafu nikawa naulizwa kwann ulikua unasapoti mada za ajabu...
Ndo mana nipo nasoma kimya kimya staki kesi πππππππ
NooooooHutaki kusema ila moyoni una shuku! Hii pia ni dhambiπ€
Ndio yaleyale ya kusema kwanini Mungu katuumba halafu hatudhibiti kutenda dhambi! Hivi imagine kila kitu kingekuwa perfect ulimwengu ungekuwa unafananaje? Kila kitu ukijiachia sana ukawaza unafika mbali na unakosa majibu kabisa!!π€π€π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Daaaah ndo.mana tumepewa akili ddaaaah aisee umejibu kitaalamu sana ...
Yaani wanaolalamika shida ni wana matatizo kichwani maana una akili timamu alafu unashindwa ku solve simple problems ka hizo ukitegemea Mungu akuje alekebishe...
Tupo pamoja hapo...π«΅π«΅π«΅π«΅ππ
Bora wewe ulisema ukweli maana hata mimi niliona hali si hali nikiangalia huku mtu anasema God's Time, huku mwingine anasema imperfect an mzozo tuu...πππππMimi nashangaa tu kwa nini mtoa mada ameamua kuongea kiingereza
Usilog out tulia ukaangweππππNoooooo
Namuamini Mungu ndgu yangu..
Alafu usije kufanya mambo hapa nikaonekana na mimi ni miongoni weeeeh tena mwezi mtukufu huu mi nafunga ujue π«΅π«΅π«΅π«΅π«΅πππππ
Mnataka ni log out sasa sio...ππππ
Ni kweli an perfectNdio yaleyale ya kusema kwanini Mungu katuumba halafu hatudhibiti kutenda dhambi! Hivi imagine kila kitu kingekuwa perfect ulimwengu ungekuwa unafananaje? Kila kitu ukijiachia sana ukawaza unafika mbali na unakosa majibu kabisa!!
ukiwa unataka kujifunza usizuie watu wakueleze wanavyo juwa hapo utakua huna lengo la kujifunza bali ni kupuuza hoja,wewe sikia tu hata kama hoja sio za dini yako usizibe masikio maarifa hayana mpaka,ukiniletea na wewe za Uislamu inakua poa tu lengo si tunajifunza hatushindani,labda iwe umeleta hoja tushindane ambapo hatutajifunza tutabaki empty headMwislamu akitumia Quran kama reference yake ya kukwambia wewe mkristo kwamba Allah ndiye Mungu wa kweli na sio Yesu utakubali?
Ndio mi naamini sana tuu sema hawa majaa kuna mada wakikuweka mtu kati wanakutoa kwenye imani... Huwa naogopa sana mada zao...πππππUsilog out tulia ukaangweππππ
Am glad unaamini Mungu yupo, ni heri kutojikweza na kujihesabia haki!
Tusubiri hukumu basi, wa kwenda kukaangwa waende wa kwenda kusifu na kuabudu hayaa! Kila mtu na ahadi zake!Ni kweli an perfect
Means hakuna kuchepuka
Hakuna kuchukuliana wake
Hakuna habari za dhambi
Yaaan hapo unaona kabisa isingenoga kabisa
Wakikutoa ujue shetani kaingilia mchezo na huwa hachezi mbali anapenda sana anguko lako! Kwahiyo atafanya kila namna kukutoa mchezoni! Usikubali!!Ndio mi naamini sana tuu sema hawa majaa kuna mada wakikuweka mtu kati wanakutoa kwenye imani... Huwa naogopa sana mada zao...πππππ
Eeeeh sema huko.nako show kali...Tusubiri hukumu basi, wa kwenda kukaangwa waende wa kwenda kusifu na kuabudu hayaa! Kila mtu na ahadi zake!