njia za Mungu hazichunguziki ila nachoamini kuwa Mungu anatuwazia mema yakija mabaya jichunguze mienendo yako maana Mungu ni mwenye wivu ukitenda mambo ya kishetani utachapika sana yeye anataka uwe wake tuuMatatizo hayawezi kuwa sehemu ya uanadamu kama Mungu mwenye upendo angekuwepo mkuu.
Swali la msingi:
Tunafundishwa Mungu aliumba wanadamu ili wamtukuze. Sasa kwanini aliamua kuwaweka kwenye mateso ya dunia? Angekaa nao huko mbinguni bila kuumba dunia si wangemtukuza huko?
Na mi skubali yaani mimi na MUngu tuu.. no matter whatWakikutos ujue shetani kaingilia mchezo na huwa hachezi mbali anapenda sana anguko lako! Kwahiyo atafanya kila namna kukutoa mchezoni! Usikubali!!
Ukisikia moto wa milele utakaza kalio🤣 komaa ukajilie zako sealed sabini na enkhee!! Mambo ya duniani haya yaache tu yakupite mwenzako kila kitu batili! Hakuna aliyeishi mara mbili, amini unachokiamini!Eeeeh sema huko.nako show kali...
Aaaah Mungu atuepushe kwa kweli..
Nikisikilizaga mawaidha ya adhabu za moto aaaaaaah unasema.mimi.kesho.nalala mskitini kabisa... Moto wa mbinguni unachoma yaani sio mwekndu au blue huo.ni.mweusiii
asome hapa taratibu asipoelewa hapa basi tenaMungu wetu anapenda sifa! Anapenda kuabudiwa na kusujudiwa! Lazima tutii maagizo! Lazima tukubali kuwa chini ya uwepo wake! Hatuwezi kujikweza na kujihesabia haki kama unavyotaka wewe!
Wewe ukimwambia mkeo usiende kwa majirani,usifanye kazi au usitoke nje unafaidika nini?
Hakunaaa!!Na mi skubali yaani mimi na MUngu tuu.. no matter what
Haiwezekani ukute nyumba ipo ipo et kisa mwenye nyumba ujamuona wee ukasema hii ilijijenga.. hakuna kitu ka hicho
Jamaa mpaka kaondokaHakunaaa!!
Stick to ur lane!
Hawakomagi hao subiri kukuche🙌🏾Jamaa mpaka kaondoka
😂😂😂🫵🫵🫵🫵 KIUFUPI UMEAGIZWAHawakomagi hao subiri kukuche🙌🏾
jamii ina kila aina ya watu,wapo wapotoshaji wa imani nk kama wewe ni balozi mzuri wa Mungu usikubali upotoshwaji upite nawe ukae tu bila kunyosha mistari kila unachokiamini ndiyo silaha yako kilinde kwa gharama yoyote kama unaamini Mungu yupo usikae kimya asije akakukana siku mojaNdio mi naamini sana tuu sema hawa majaa kuna mada wakikuweka mtu kati wanakutoa kwenye imani... Huwa naogopa sana mada zao...🙌🙌🙌🙌🙌
Duuuh kweli mkuu mi nabaki na msimamo wanguu huu huu hata wakiniuliza maswali ya namna gani sitoki kwa reli....🙌🙌🙌🙌jamii ina kila aina ya watu,wapo wapotoshaji wa imani nk kama wewe ni balozi mzuri wa Mungu usikubali upotoshwaji upite nawe ukae tu bila kunyosha mistari kila unachokiamini ndiyo silaha yako kilinde kwa gharama yoyote kama unaamini Mungu yupo usikae kimya asije akakukana siku moja
Watu mnashindwa kutofautisha kati ya freedom na power/ability. Kifupi uhuru na uwezo ni vitu viwili tofauti.Free will doesn't exist.
No one has the "free will" to go back in the year 1970.
So no one has the free will.
Kwanin ubishane na mtu asie amini kua pumzi aliyo nayo inatoka kwa mungu.?Vitu vingine majibu yake yameandikwa unapata uvivu gani kusoma maandiko?
Kasome maandiko yana majibu yote haya!
Huyo shetani hakuwa mwanadamu aliumbwa perfectly akaingia tamaa mwenyewe ya kuchukua nafasi ya Mungu! Ndiomaana alitupwa pampja na jeshi lake lote! Akaona haitoshi akawadanganya adam na eve bustanini , matokeo ya hiyo dhambi ya asili ndiyo tunayaishi leo!
Hiyo free will haihusiani na wewe kugeuza mchanga maji! Free will
Ni uwezo wa kuchagua matendo! Sio miujiza ya kuamua ukaishi hewani au baharini, sijui kurudi 80s thats crazy lol
Akili zinakua sawa kwa kila mtu au inategemea?🤓🤓🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaaah ndo.mana tumepewa akili ddaaaah aisee umejibu kitaalamu sana ...
Yaani wanaolalamika shida ni wana matatizo kichwani maana una akili timamu alafu unashindwa ku solve simple problems ka hizo ukitegemea Mungu akuje alekebishe...
Tupo pamoja hapo...🫵🫵🫵🫵🙏🙏
una maana gani?Hivi imagine kila kitu kingekuwa perfect ulimwengu ungekuwa unafananaje?
Wanatushangaa kumtetea Mungu wanataka aje kujitetea mwenyew, lazima tuwaelekeze kuwa Mungu yupo heri wamesikia wakamkataa wenyewe! Wasije kuleta visingizio baragumu litakapolia!Kwanin ubishane na mtu asie amini kua pumzi aliyo nayo inatoka kwa mungu.?
Soma tenauna maana gani?
Mungu ndio amewalaza njaa hao watoto akakupa wewe chakula? Mnashindwa kusaidiana ninyi kwa nyinyi mnasubiri chakula kishuke kutoka mbinguni! Ni lini uliona mvua ya chakula imeshuka?Mungu mwenye upendo na mueza wa yote 🚮
View attachment 3547070