Hauoni kwamba shida yao ipo kwenye maandiko zaidi na huko kwengine kote wanafanya kufuata tu kwa sababu ndio atheism?Kwa sababu atheists wanayajua pia maandiko vizuri sana ,hivyo wameng'amua mikanganyiko mingi kwenye maandiko yanayodai uwepo wa Mungu.
Note. Atheists hawapingi Mungu kwa sababu ya mandiko tu .
Mkuu mtu akikutajia tu wana israel, kaa mbali 😁 ni sawa na kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwaHiyo picha nimeposti ni ya palestina, na hao Israel unawazungumzia ndio wamesababisha hivyo, vipi kuhusu majanga yaasili ambayo hayopo ndani ya uwezo wa kuchagua?
Hiyo picha nimeposti ni ya palestina, na hao Israel unawazungumzia ndio wamesababisha hivyo, vipi kuhusu majanga yaasili ambayo hayopo ndani ya uwezo wa kuchagua?
Basi hivyo ni vitu viwili tofauti na ndio maana watu ambao wote wanaamini Mungu wanaweza kutofautiana kwenye suala la baadhi ya sifa za Mungu, sasa wewe hauamini kabisa Mungu sioni maana ya wewe kujadili sifa za Mungu.Vyote kwa pamoja
Nmesikia mwana wa Israel nikajua tu hakuna kitu hapoMkuu mtu akikutajia tu wana israel, kaa mbali 😁 ni sawa na kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa
SawaKut 3:7-9
BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi. Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
Hoja yangu ni kwamba kusema hakuna Mungu ni madai na si ukanushaji kama huwa mnasema.Wewe hoja yako ni ipi? Naona unauliza maswali tu
Hapa labda AI inisaidie, ila atheist nasikia kwamba wamekataa imaniIpo tofauti kati ya Agnostic na atheist
Sifa hizo zinapingwa kwa madaiBasi hivyo ni vitu viwili tofauti na ndio maana watu ambao wote wanaamini Mungu wanaweza kutofautiana kwenye suala la baadhi ya sifa za Mungu, sasa wewe hauamini kabisa Mungu sioni maana ya wewe kujadili sifa za Mungu.
Hayo madai yamezuka tu?Hoja yangu ni kwamba kusema hakuna Mungu ni madai na si ukanushaji kama huwa mnasema.
Kumpa kitabu inategemea nataka apate ujumbe wa aina gani maana vitabu viko vingi na imani zipo nyingi.LAbda kwa sababu wameshafika conclusion baada ya sababu kadha wa kadha.
MKuu hoja yako naipata ,
Ila mfano kwa sasahivi ukamkuta mtu let say hana imani, ukaanda kumpa habari njema/dawah. Hutompa kitabu ? au atleast kumrecommend atafute kitabu fulani?
Atheists wanadai hakuna Mungu kitu ambacho hata Agnostics huwa wanawashangaa wamewezaje kujua hilo kwa uhakika?.Hapa labda AI inisaidie, ila atheist nasikia kwamba wamekataa imani
Kukosekana kwa uthibitisho wa kuwepo kitu sio uthibitisho wa kutokuwepo hicho kitu.Hayo madai yamezuka tu?
Hivyo hakuna ulazima wa kuaminiKukosekana kwa uthibitisho wa kuwepo kitu sio uthibitisho wa kutokuwepo hicho kitu.
Ushasema kuamini hivyo hakunaga kulazimishwa katika hilo.Hivyo hakuna ulazima wa kuamini
Basi hivyo ni vitu viwili tofauti na ndio maana watu ambao wote wanaamini Mungu wanaweza kutofautiana kwenye suala la baadhi ya sifa za Mungu, sasa wewe hauamini kabisa Mungu sioni maana ya wewe kujadili sifa za Mungu.
Kumpa kitabu inategemea nataka apate ujumbe wa aina gani maana vitabu viko vingi na imani zipo nyingi.
Atheist, Agnostic Theist , wewe upo kundi lipi hapo?Ushasema kuamini hivyo hakunaga kulazimishwa katika hilo.
Jamaa ni Agnostic yani yeye hana uhakika , yupo katikati.mkuu mbona kama haya mambo unayaelewa vizuri tu, sasa unashindwa kuwaelewa wapi jamaa?
nA mkuu upo kimkakati sana watu wa namna yako ni ngumu kukabiliana nao kihoja. --- maana umeshasema imani zipo nyingi na vitabu vipo vingi
HApa nimekupata mkuu , sasa kama ni hivyo sasa according to abrahamic faith si kiberiti kipo palepale au? 😁Jamaa ni Agnostic yani yeye hana uhakika , yupo katikati.
Mkuu unajua atheists ni kama kundi tu la dini ila wanataka kujiona wao ndio wapo sahihi. Hivyo ndio mie nawaona hawa atheists.mkuu mbona kama haya mambo unayaelewa vizuri tu, sasa unashindwa kuwaelewa wapi jamaa?
nA mkuu upo kimkakati sana watu wa namna yako ni ngumu kukabiliana nao kihoja. --- maana umeshasema imani zipo nyingi na vitabu vipo vingi