godoro-la-comfy
Member
- Sep 9, 2013
- 52
- 28
Vijana tupunguze kutafuta ridhiki kwa njia zisizo nzuri. Ndio, maisha ni magumu sana. Na ni kweli asiyefanya kazi na asile. Na tena..kujishughulisha ni jambo jema sana. Na mkaa bure si kama mtembea bure.
Ni vizuri sana kufanya kazi na kutafuta ridhiki kwa njia nzuri na hapo ndipo Mungu atatuongezea.
Nimeshuhudia vijana wengi sana wakifa..wakienda magerezani..wakibakwa...na kufanyiwa maasi kutokana na kupenda shortcuts za maisha.
God's time is the best. Mshukuru Mungu kwa kila jambo. Ikifika muda utaona tu mambo yanakuendea vizuri.