Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

Lazima utakuwa na chuki binafsi pole


Sio jibu hili Suzie.



sasa inakuhusu nini...mambo ya kishamba hayo...mind your own business

Chuki binafsi hizo,mi naona yuko sawa tu!



Chuki binafsi haifai x70 'Ally Choki'

Acha majungu kijana mbona ametulia, au umetumwa? Tabia ya kuongelea watu badala ya "issues" ni tabia isiyofaa hata kidogo. Usiruhusu chuki zako binafsi ili kuufurahisha moyo wako!

majibu yenu ni ya kitoto wote nyie
 
Reactions: 3D.
Mmh..Mna kashifu hadi mapungufu ya mtu mkidhani anajifanyisha jamani??!! Isack Gamba shingo yake ndivyo ilivyo imekaza sio kwamba anajikamua kutoa sauti.

Mi nadhan Kibonde ndio anajifanyisha kwa kui-tune sauti yake i-sound kama mtu wa pwani...wakati alipokuwa CTN sauti yake wala haikuwa hivyo!!! Kinachomsaidia ni mcheshi tu...
 
majibu yenu ni ya kitoto wote nyie
SIO JIBU? kivipi? Kwani mtoa mada alikuwa anauliza SWALI au KUTAKA MAJIBU?

mmhh mi naona mmetumwa kumharibia mtu jina humu JF, namimi nakuambieni MSHINDWE na MLEGEE

Epuka kuzungumzia au kujadili mtu/watu, jadili issues. Kama GG anadominate na kuingilia mijadala anayoingoza basi toa elimu anatakiwa afanyaje according to standard of operation (SoP) guiding how to lead am interview or question and answer session. Lete nondo hapa tukusome tukuelewe short of that, this is CRAP
 

Kuna watu ambao wanataka mtu afanye yeye anavyotaka. Kuna haja ya kujua std za mtangazaji ili tupime kama Gondwe hajafikia au amefika. Mimi naona kuna watangazaji wengi tu wa baadhi ya Tv wanafanya masihara kabisa lakini hujayaona.

 
Kuna watu ambao wanataka mtu afanye yeye anavyotaka. Kuna haja ya kujua std za mtangazaji ili tupime kama Gondwe hajafikia au amefika. Mimi naona kuna watangazaji wengi tu wa baadhi ya Tv wanafanya masihara kabisa lakini hujayaona.
Umefikiaje hiyo dhana yako, wakati umeshauri standard zijulikane kwanza?
 
Lazima utakuwa na chuki binafsi pole
Hapa ndio ninapokomaga na wabongo.....mleta mada katoa duku duku lake....ni challenge kwa gondwe kubadilika.....ukweli ndio huo jamaa anaboaga kimtindo....ni most ya watangazaji wa kibongo kufanya mahojiano hawajui....maswali yao so cheap hata binti yangu hawezi kuuliza maswali dizaini ile....
 
Mleta mada kasema inawezekana GG ni mwanahabari mzuri lakini sio mtangazaji mzuri.....hilo suala la mhitimu wa chuo fulani ndio hayo hayo ya akina Chenge.....

JF arifu jamaa kadondosha duku duku zake...mbona nyie mwapiga makombora kwa serikali wakati kuna njia za kuwafikia(simu,email,fax....ect) kuwambia wajirekebishe.....

Hapa jf bana....ukisema udhaifu wa mtu mmoja mmoja utapigwa madongo....mara wivu mara si mwambie personally sio kuweka hapa.....Double G anaboa kichizi mazee....na sio yeye tu most ya watangazaji wa runinga na redio wa tz wanaboa....kazi kuigana sauti
 
Reactions: 3D.
Mtoa mada utakuwa na chuki zako binafsi tu...

Haswaaa!!!! yaana anasound kichiku kabisa... kama ni mapungufu kila mtu anayo ya aina yake sasa yeye anashambulia sio kutoa ushauri... kuna sababu labda azitoe hapa kwa nini ana chuki na jamaa ili tumwelewe.
 
Hata mimi nilivyokuwa namuona kwenye matangazo ya promotion, nilikuwa na wadogo zangu nikawa nawaambia huyu jamaa anaharibu tangazo lao. hasa tabia ya kucheka cheka ovyo! anaboa kama walikuwa hawajui, basi anaboa
 
Unaweza usikubaliane na utangazaji wake ila hilo neno kwamba amesoma vyuo vya kata inaonesha una jambo binafsi.
 
Kama Gondwe anaigiza kama cowboy,Isac Gamba utasemaje na ile style yake ya kukaza shingo uku akikonyezakonyeza screen?

:lol::lol::lol:....hahahahahaaaaaaaaa.....!!!! yule kweli anakonyezakonyeza...lol :lol::lol::lol:
 
Jamani katika vipindi vya mahojiano vya tv za TZ hakuna mtangazaji wa hovyo kupata kutokea kama Gabriel Zakaria, hiki ni kimeo hasa, kama Gondwe hafai hujui hapaswi hata kusogelea Kamera ama kipaza sauti ya chumba cha habari, ni mbumbumbu, ni mbabaishaji, mtu mwepesi , anaehoji kwa kutanguliza majibu, hahhaaaah TBC wamemtoa wapi huyu mjamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…