Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani


Wewe majibu yako bana, kwani kuwa lecturer ndo nini? unataka kusema kocha akiingia uwanjani atakuwa na uwezo wa kucheza kama wachezaji anaowafundisha? kumbuka makaratasi na perfomance are two different things The Finest.

N.B. Naomba definition ya 'Chuki Binafsi'
 
Gondwe ni mwimba kwaya swafi.
Labda aelekeze nguvu zake huko.
 
We ni far kabisa, huna uwezo wa kupima hoja na ukaamua, mbona mi naona ni mtangazaji mwenye mvuto? We una matatizo binafsi

Hamna kitu pale.. Yule jamaa huwa anaboa mbaya kiukweli.. Hata hio Bss HAIWEZEI kama alivyokuwa Danny sizza au happy.. Kajamaa kanachekacheka tu everytym.. Gondwe anaboa mbaaya yaan
 
Huyu jamaa kuna watu huwa wanampa tenda za kuwa MC kwenye maharusi. Kwa kweli huwa anabowa sana mpaka unatamani utoke ukumbini. Jamaa anajiongelesha tuvutafikiri ni MC wa JKT amnaye halipwi mshiko!. Makelele tu, sauti haina mpangilio, halafu kwa bahati mbaya hawezi kujisahihisha anaendeleatu
 
ungekua wa maana if u tel him directly via maoni or else itv! yuko poa man kuna jambo lako binafsi hayatuhusu sie!
 
Hizo kweli chuki binafsi, mbona jamaa anatangaza vizuri jamani, wakati mwingine jaribu kuwa reasonable kwani hakuna ambalo umelizungumza lenye mantiki juu ya huyo mtangazaji.
Jaribu kumshauri pale ambapo unafikiri anakosea sio kusema hafai.
 
Mi nadhani tusimlaumu sana mleta mada kwani hata mimi huyu bwana huwa ananikera sana kwani anapokuwa anahoji yeye anaongea zaidi ya yule anayehojiwa. Namshauri tu kwamba awe anakumbuka anatakiwa afanye nini anapokuwa kwenye kipindi na kama vipi aombe awe yeye ndiye anahojiwa na si anayehoji. Kama inashindikana basi awe msoma habari tu na vipindi vinavyohusu kuhoji basi awaachie wengine.
 
Anajihamini kupita kawaida hata na sehemu isiyopasa kujiamini...ni much know,na anaonekana ni mtu anajihisi kuwa ni classics kumbe ni wakawaida sana..nadhani anahitaji kupewa kitengo cha kutengeneza habari na sio kuhoji ili kupata habari.
 
Mtoa mada una chuki!Godwin ni mmoja wa watangazaji bora wa kizazi hiki.Nadhani demu wako huwa anamsifia akiwa anatangaza ndo ukaanzisha vita.
 

Arife ni usomi gani unaouzungumzia hapa, hata kuweka paragraphy imekuwa utata.

Kama unataka kumkosoa mtu, jitazame kwanza wewe mwenyewe unawatendea haki wengine.

Vinginevyo itaonekana ni chuki binafsi tu inakuandama.
 
Dah! Hadi hapa nahisi ki-zungu x2. I dont think ni chuki binafsi pekee, bali kuna ukweli ndani yake. Naamini kuwa GG anamapungufu ktk kuendesha vipindi vya mahojiano lakini anaweza kuyarekebisha na akawa mzuri. Kuna sehem unafit kama kusoma habari nk. Its high time to GG to sythesize all what has been said and work with them. Waweza kuwa mzuri kwenye wazuri. Unaweza jifunza kwa mf wa Riz Khan.
 
Qualifhcation zinachangamoto zake! Binafsi mi mwewe si amini kuwa mtu anaweza kuwa mzuri kwa nyanja zote! Lazima kuna mahali utakuwa mzuri, mzuri sana, wa kawaida na mbaya sehemu flani! Kama kuna sehem unafiti, ng'ang'ania huko uwe the best!
 
Qualifhcation zinachangamoto zake! Binafsi mi mwewe si amini kuwa mtu anaweza kuwa mzuri kwa nyanja zote! Lazima kuna mahali utakuwa mzuri, mzuri sana, wa kawaida na mbaya sehemu flani! Kama kuna sehem unafiti, ng'ang'ania huko uwe the best!
 
hahahahaaaaa
 
Kama hafif media house ndo kaenda panapomfaa sasa.
 
Kashaula haya mmesema analazimisha fan! sasa kaenda kwenye fan yake
 
Kashaula haya mmesema analazimisha fan! sasa kaenda kwenye fan yake
Watu wengi wanapenda sauti za kubembelezwa, GG sauti ya kiume .. sasa itatumika kutoa amri akiwa Mwenyekiti wa Kamati yaUlinzi na Usalama wilaya..... ONGERA SANA MTU WANGU WA MWANZA, NYAKATO BUZURUGA.
 
ndo kashakula shavu la ukuu wa wilaya, sasa sijui siasa nayo ni fani yake au ndo maisha na ridhiki hupangwa na Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…