Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

Lo, umeongea vizuri! When did you post this msg? Hivi amesoma University gani? Nasikia eti ni Mhadhili Tumaini, ndio maana graduates wake Mh!
 
Hapo pa red, NEVER! labda huko mbele isiyo karibu!
 
Chuo cha kata anachosema yeye, atwambie yeye kasoma chuo gani na kozi gani???
 
Braza mto hoja, ukuu wa Wilaya hawasomei na ifike mahala tuangalie utendaje kazi wake na usihukumu ilhali hujaona delivery yake.
 

Haya sasa...... Yuleeee uliyemponda miaka hiyo..... Leo labda ni Mkuu wa wilaya yako...... Endelea tena kuponda miaka 5 ijayo ... still atakuwa ni mtu mkubwa tuu ambaye hujawahi kuwaza/ kufikiri.....!!!!🙂🙂 Nimekumbuka ule wimbo wa ..."Ombea adui zako waishi siku nyingi ili unapobarikiwa wajionee kwa macho.... Hamna haja kabisa wafe kabla hawajaona BARAKA ambazo Mungu ameweka mbele yako.......!!!!!🙂🙂
 
Ushauri mzuri mkuu!
 
SASA HIVI MKUU WA WILAYA.........BRO MAGU KAMUONA WEWE ENDELEA KUPIGA TANTALILAA
 
Godwin Gondwe a.k.a double G ni mtangazaji mwenye kipaji, kwa wale tulioaza kumsikiliza tangia miaka ya 90's akiwa RFA Mwanza na wenzake akina Gabriel Mwansasu tunajua ni jinsi gani walovyoipaisha RFA miaka hiyo.
 
Hiyo ndio sauti yake tangu hajawamtangazaji alikuwa akifanya kazi hotelini acha chuki binafsi
 
jamani mimi binafsi huyu baba namuelewa kuliko mtangazaji yoyote Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…