kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Anaswag kam Jay Z pia....smetymzZilla anamcopy 50 cent
Wote Ni Chorus maker Wazuri, nilidhani ungetofautisha nani Mkali wa Chorus nani Mkali wa Nyimbo kwa ujumla!Ni wasanii wanaoweza kurap na kuimba...wameshaimba nyimbo zao,wamefnya chorus kwny nyimbo zikang'aa pia.baadhi ya hit single zao ni;
GNAKO
1.Sichezi mbali
2.Headache
3.Juma ikangaa
4.original
5.Arosto
GODZILLA
1.king zillah
2.get out of my way
3.Salasala
4.Get high
5.First class
Walishawahi kufanya hit ya pamoja inaitwa NISOME.
nani mkali kati yao??
Na kanye pia ,hata BIG na Nas,anapenda kumix mix sana na alianza kufanya hivyo baada ya watu kumshtukia kua he is too much of 50.Anaswag kam Jay Z pia....smetymz