GOGO AGENTS
Member
- Feb 15, 2019
- 10
- 14
Wapo kaka ila bado tunaanza mdogo mdogo
Sie wa Temeke tutapeleka hoja bungeni ili tuhamishiwe Mkoa wa Pwani na tuna uhakika tukiwa kule, tutakuwa ndo New York yao na kwahiyo heshima itakuwepo! Kwanza tumejaa watu wa mkoa wa Pwani huku, kwahiyo itakuwa tunarudi home!
tunaweza wasiliana?ninauza nyumba yangu ipo mbezi beach.Habari ya mda huu, napenda kujitambulisha kwenu kuwa mimi ni dalali wa kupangisha nyumba vyumba apartments, hostels, godowns ,yards, business frames, villas, duplex, penthigh. Kuuza nyumba, viwanja, mashamba na magari.
Maeneo ambayo tunadili nayo ni yafuatayo:
Sinza, Svaei chuo, Makongo, Changanyikeni, Ubungo, Tabata, Kimara, Mbezi, Kijitonyama, Makumbusho, Magomeni, Kinondoni, Ousterbay, Masaki, Mikocheni, Kawe, Mbezi ya chini, Mbezi beach, Mwenge, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni, Ununio, Goba, Kariakoo, Upanga, Posta na Kigamboni.
nitumieni namba yenu ya simuHabari ya mda huu, napenda kujitambulisha kwenu kuwa mimi ni dalali wa kupangisha nyumba vyumba apartments, hostels, godowns ,yards, business frames, villas, duplex, penthigh. Kuuza nyumba, viwanja, mashamba na magari.