Asanteni sana,kwa contacts details,and Malila nashukur sana kwa ushauri,
nimechimba bwawa kigamboni eneo linaitwa Mwanzo Mgumu B,somangira. bwawa lina ukubwa wa mita 29 by 10.natarajia kufuga samaki wa kwanza 600 kwani hesabu za wataalam ni samki 2 kwa square meter moja
katika jitihada zangu Jana nilienda manispaa ya Temeke,sikufanikiwa kupata namba ya kingolwira,nimeuliza zaidi ya maofisa watano,nikaenda kwa assistant wa mkuu wa kituo hicho,pia naye hana ,sikuvunjika moyo nikapiga safari mpaka wizara ya kilimo na uvuvi,nikaenda kitengo cha samaki,hapo nikapata ushirikiano mzuri sana,na kwa bahati chief wao mmoja alinipa hadi namba za Mr.Kalinga na kunipa mtu wa kuwa ananisaidia tecknical support( Nicholas Mlalila)
nimeongea na Mr.Kalinga ameshauri niende wiki ya pili ya mwezi may.
nitatoa updates siku zikikaribia