Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli unapenda michezoIsipokuwa hiyo theluji hapo hii picha ukiitizama huwezi jua kwamba hawa jamaa wapo kule Denmark. Nchi za Afrika Mashariki zimewakilishwa vilivyo kule Aarhus utadhani hapo ni Entebbe ama Nakuru.![]()
Kweli Uganda Ethiopia na Kenya wamewanyorosha wazungu kinomaIsipokuwa hiyo theluji hapo hii picha ukiitizama huwezi jua kwamba hawa jamaa wapo kule Denmark. Nchi za Afrika Mashariki zimewakilishwa vilivyo kule Aarhus utadhani hapo ni Entebbe ama Nakuru.![]()