Gold already in the Aarhus world cross championship

Depay

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2015
Posts
6,562
Reaction score
3,905
Kenya's Golden Girls wins gold in the junior women's competition albeit under very controversial circumstances. Initially she had been given a bronze medal when replays clearly showed her chest cut the tape first..
 
Attachments

  • images-112.jpeg
    19.6 KB · Views: 20
Nimeona
Ethiopia
Kenya
Uganda
Wamefanya vizuri saana aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Congrats to her. Hii bendera yetu huwa lazima ipepee kote kote duniani! Safi sana!
 
Medali zaanza kutiririka kule Aarhus, Denmark kwenye mchuano wa 2019 World Cross Championship. Medali ya dhahabu, Helen Obiri Women's 10Kms Senior.
 
Isipokuwa hiyo theluji hapo hii picha ukiitizama huwezi jua kwamba hawa jamaa wapo kule Denmark. Nchi za Afrika Mashariki zimewakilishwa vilivyo kule Aarhus utadhani hapo ni Entebbe ama Nakuru.
 
Isipokuwa hiyo theluji hapo hii picha ukiitizama huwezi jua kwamba hawa jamaa wapo kule Denmark. Nchi za Afrika Mashariki zimewakilishwa vilivyo kule Aarhus utadhani hapo ni Entebbe ama Nakuru.
Kweli Uganda Ethiopia na Kenya wamewanyorosha wazungu kinoma
Sijaona mzungu aliyefanya vizuri

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…