gold1
Member
- Oct 12, 2012
- 5
- 0
Jaman waungwana habari zenu, polen na majukumu, naomba msaada piah ushauri kwa mwenye knwoledge kuhusu tatizo la kukojoa mara kwa mara haipiti dakika tano, na inapotokea hali hyo huahakuna jinsi yakujizuia hua unatoka mojakwamoja, mwenye tatzo ni mtu mzimah ameshaenda hosptal kafanyiwa had upaauaj mdogo micochen hosptal kairuk lakin tatzo bado ni kubwa, kwa mtu mwenye ushauri au experience na tatizo kama hilo anisaidie nam nimshauri auncle wangu... Anateseka sana... Asanten wanajukwaa naomba ushaur.....