Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Naam, tukutane hapa wale wapenzi wote wa Dubs #Dubnation na wazee wote wa kikapu Mambo ya #Hoops[emoji459] Tuijadili timu yetu hii yenye wachezaje wenye vipaji lukuki.
Misimu miwili na nusu iliyopita ilikuwa migumu sana kwetu. Ile winning spirit ilipotea Sana hasa baada ya kukumbwa na majeruhi mfululizo katika stages za Regular matches and na play off.
KD, Curry, Klay, Draymond wote walikuwa hawako na form and consistency sababu ya kuandamwa na majeruhi mfululizo.
The bench hawaikuwa na players wenye viwango vya kuibeba timu.
Also some veterans kama the sixth man Igoudala, Iggy aliikacha timu.
Katika hii miaka miwili coach Kerr amejaribu kupata young players wenye new energy kuja saidiana na veterans Kama Kona Curry, Klay na Draymond.
Kwa kweli kwa sasa naona kama wako vizuri wanaleta hamasa na timu Inacheza kiushindani kiasi kwamba natabiria two seasons mbela tutakiwa fire sana kama hii timu itakaa pamoja bila balaa la majeruhi.
Kuna vijana Kama James wiseman huyo dogo akatkuja kuwa hatari sana ni combination version ya Giannis+KD
Kelly oubre yuko njema sana
Naona nae Wiggins anapata Moto day to day.
Shemeji yake Curry[emoji1] bwana Damion Lee anacheza sasa kama professional baada ya kutolewa kule D League kuletwa huku juu
Pascal yuko safi kijana wana ari ya ushindi.
Kiasi kwamba kwa timu tuliyo nayo hakuna haja kununua majina makubwa sana.
Karibu sana Dubs kwa kuchangia mawazo yenu ya timu yetu na match updates.
#STRENGTHINNUMBERS
#THEBAY
#DUBNATION
#OAKLAND
#SANFRANCISCO
#THECHASECENTER
Hooooops! Shwaaash! [emoji98][emoji98][emoji98]
Steph Curry
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app