Golden State Warriors Fans Special Thread

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766



Naam, tukutane hapa wale wapenzi wote wa Dubs #Dubnation na wazee wote wa kikapu Mambo ya #Hoops[emoji459] Tuijadili timu yetu hii yenye wachezaje wenye vipaji lukuki.

Misimu miwili na nusu iliyopita ilikuwa migumu sana kwetu. Ile winning spirit ilipotea Sana hasa baada ya kukumbwa na majeruhi mfululizo katika stages za Regular matches and na play off.

KD, Curry, Klay, Draymond wote walikuwa hawako na form and consistency sababu ya kuandamwa na majeruhi mfululizo.

The bench hawaikuwa na players wenye viwango vya kuibeba timu.

Also some veterans kama the sixth man Igoudala, Iggy aliikacha timu.

Katika hii miaka miwili coach Kerr amejaribu kupata young players wenye new energy kuja saidiana na veterans Kama Kona Curry, Klay na Draymond.

Kwa kweli kwa sasa naona kama wako vizuri wanaleta hamasa na timu Inacheza kiushindani kiasi kwamba natabiria two seasons mbela tutakiwa fire sana kama hii timu itakaa pamoja bila balaa la majeruhi.

Kuna vijana Kama James wiseman huyo dogo akatkuja kuwa hatari sana ni combination version ya Giannis+KD

Kelly oubre yuko njema sana

Naona nae Wiggins anapata Moto day to day.

Shemeji yake Curry[emoji1] bwana Damion Lee anacheza sasa kama professional baada ya kutolewa kule D League kuletwa huku juu

Pascal yuko safi kijana wana ari ya ushindi.

Kiasi kwamba kwa timu tuliyo nayo hakuna haja kununua majina makubwa sana.

Karibu sana Dubs kwa kuchangia mawazo yenu ya timu yetu na match updates.

#STRENGTHINNUMBERS
#THEBAY
#DUBNATION
#OAKLAND
#SANFRANCISCO
#THECHASECENTER

Hooooops! Shwaaash! [emoji98][emoji98][emoji98]


Steph Curry


Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hii timu ni ya new comers kwenye Basketball game. Wengi wamfuata Steph Curry tu hapo. Lgends wanashabikia L.A Lakers (Don't take it personally)
 
Wanyamwezi mko wapi uzi si ndio huu.

Mkuu mi siwakubali Golden state couse kuna misimu walitutesa sana MI chama langu cave cavaria japo na Show love kwa Boston Celtics pia in short I got much love to west coast.
 
Mwenye timu curry kapona. Upepo umeanza kurudi. Sema hizi mechi bila mashabiki hazitabiriki.
 
Hii timu ni ya new comers kwenye Basketball game. Wengi wamfuata Steph Curry tu hapo. Lgends wanashabikia L.A Lakers (Don't take it personally)
Kila Zama na kitabu chake mzee

New generation hawawezi elewa Lakers ilifanya Nini huko nyuma sababu hatushuhudia

Mimi mwenye Kobe sijawamwona akicheza at his peak .(niko early thirties).

So since nilivyoanza fatilia basketball Golden State warriors na Steph Curry akawa my favorite player ndani na nje ya court .

New comers nao wana taste zao

Kama Kama basketball fan utaelewa otherwise unatoka nje ya mstari

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 

Early thirties hujamuona Kobe kwenye peak yake? itakuwa umechelewa kufuatilia Basketball,au umeanza kufuatilia ukubwani labda...au labda hujawahi cheza huo mchezo....vipi kikapu bongo unafuatilia kweli?

Namkubali Curry pia...hivi niivyokwambia 'don't take it personally' ulielewaje mkuu?
 
Game ya alfajiri ya Leo Ni muhimu Sana kwetu

Recently timu ilikuwa inacheza vibaya Ina win game 1 na ku loose mbili .

I hope we gonna make it to playoff

Let's go dub nation !!!

Chef Curry waue hao "Swampers" na leFraud wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mnapigwa hiyo game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…