JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Golden State Warriors imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu ya NBA 2022 ikiwa ni mara ya nne ndani ya miaka nane iliyopita.
Imeifunga Boston Celtics kwa vikapu 103-90 katika mchezo wa Fainali ya 6 uliomalizika alfajiri ya leo Juni 17, 2022.
Stephen Curry amebeba Tuzo ya Mchezaji Bora wa Fainali (MVP) ambapo timu yake ya Warriors imeshinda kwa jumla ya mechi 4-2.