Golden Tulip or "Golden cockroach"?

Golden Tulip or "Golden cockroach"?

Huyu jamaa anadai aliamshwa na mende.

http://www.tripadvisor.com/ShowUser...Golden_Tulip_Dar_Es_Salaam-Dar_es_Salaam.html

Hivi kweli palivyo pazuri vile panaweza kuwa na mende?

Mende huishi kwenye "septic tanks" na anaweza ku-sneek sehemu yoyote jirani na hizo "septic tanks" kama hazipuliziwi dawa = "fumigation"!

Kwa "Tulip" usafi wa mazingira ni "sifuri"! Kwa hiyo si ajabu kukuta Mende hata kwenye "Pizza"!

BTW: Jirani yake pia "Police O-Mess" hamna hata maji kwenye "toilets"!

Ndivyo tulivyo
 
yeah, kuna ukweli ndani yake.
there is no business ya maana pale!, Golden Tulip its no more infact.
hata kwa nyuma naona wameshaweka wachina wanaendesha mgahawa pale.
kama unabisha waulize tax drivers pale nje watakupa nyeti!!
 
Kabla sijachangia atokee mtu anijibu!

Najua hiyo hoteli ilijengwa pale na J.W.Ladwa baada ya Mwinyi kuwaruhusu akina Subash Patel kujenga pale baharini Sea Cliff kinyume na sheria. Kwa sababu Ladwa ni wa mjini akala njama apewe kile kiwanja pembeni mwa Police Mess kwa vile Mwinyi alikuwa anashauriwa na mkewe Sitti sijui kama hajamkimbia alishindwa kuwakemea wale maafisa wa ardhi walikaidi amri yake. Waziri Lowasa akiwa Ardhi alipewa rushwa na hao wahindi ili awaachie ule uwanja kwenye kona ya maktaba na Bibi Titi pesa akajimegea eneo la wazi karibu na Raha Towers inayomilikiwa na MKE wa Mwinyi akajengea ile Masai house!! Mkapa aliapa kubomoa Golden Tulip kwenye kampeni ya 2005 mapaka leo hakuna kilichofanyika.

Ile hoteli na nyinginezo hapa Dar zinaendeshwa na management za kihindi hata ile ya New Africa aliyojiuzia Mwinyi na akina Daniel T Arap Moi aliyekuwa rais wa Kenya. Zote ni chafu kupindukia kwani si mnafahamu asili ya wahindi!! Hawaajiri watu wa kudumu na mshahara kidogo ukijumlisha na vyakula kiporo haviishi jumla yake mahoteli yote hata Moevenpick kuna mende wa kutisha. Kama unabisha kesho asubuhi au usiku huu nenda pale ufunue kitambaa cha meza uone hiyo meza ni uchafu. Zimefumuka sijui hiyo serikali inawapa waendeshe kwa makataba gani. Hiyo Hoteli ilijengwa kwa pesa za Debt Conversion sijui what is going on hawajanunua thamani tangu miaka ya tisini. Kama meza ziko hivyo magodoro je sijui kama hata ule mfumo wa fire fighting equipment kama bado unafanya kazi baada ya kujitoa Sheraton!!!
 
Mkapa aliapa kubomoa Golden Tulip kwenye kampeni ya 2005 mpaka leo hakuna kilichofanyika.

Mkapa 2005? Huu ni mwaka aliomkabidhi msanii nchi!
 
Mkapa 2005? Huu ni mwaka aliomkabidhi msanii nchi!

Masanilo!

Samahani na wasomaji wote! Ni ulimi umeteleza nilikuwa na maana 1995 kwenye kampeni yule Mmakonde kutoka Msumbiji aliapa na nilimsikia lakini alipokanyaga magogoni mpaka alipondoka Golden Tulip ipo na alihudhuria pale bonge la mkutano sikumbuki ulikuwa wa nini vile!!!! Hata Mkwere kuna siku aligusia kuhusu ujenzi wa ufukweni lakini alipokumbuka kwamba Subash Patel ni swahiba kutoka Lugoba alikula jiwe na mpaka leo kujenga ufukweni ruksaa!!!!
 
Speaking of hotels and carpets, who owns the Equator hotel in Arusha? They should be sued for their carpets
 
inasikitisha sana na sumaye nae ndo aliuziwa mount meru almost bure!
 
Kabla sijachangia atokee mtu anijibu!

Najua hiyo hoteli ilijengwa pale na J.W.Ladwa baada ya Mwinyi kuwaruhusu akina Subash Patel kujenga pale baharini Sea Cliff kinyume na sheria. Kwa sababu Ladwa ni wa mjini akala njama apewe kile kiwanja pembeni mwa Police Mess kwa vile Mwinyi alikuwa anashauriwa na mkewe Sitti sijui kama hajamkimbia alishindwa kuwakemea wale maafisa wa ardhi walikaidi amri yake. Waziri Lowasa akiwa Ardhi alipewa rushwa na hao wahindi ili awaachie ule uwanja kwenye kona ya maktaba na Bibi Titi pesa akajimegea eneo la wazi karibu na Raha Towers inayomilikiwa na MKE wa Mwinyi akajengea ile Masai house!! Mkapa aliapa kubomoa Golden Tulip kwenye kampeni ya 2005 mapaka leo hakuna kilichofanyika.

Ile hoteli na nyinginezo hapa Dar zinaendeshwa na management za kihindi hata ile ya New Africa aliyojiuzia Mwinyi na akina Daniel T Arap Moi aliyekuwa rais wa Kenya. Zote ni chafu kupindukia kwani si mnafahamu asili ya wahindi!! Hawaajiri watu wa kudumu na mshahara kidogo ukijumlisha na vyakula kiporo haviishi jumla yake mahoteli yote hata Moevenpick kuna mende wa kutisha. Kama unabisha kesho asubuhi au usiku huu nenda pale ufunue kitambaa cha meza uone hiyo meza ni uchafu. Zimefumuka sijui hiyo serikali inawapa waendeshe kwa makataba gani. Hiyo Hoteli ilijengwa kwa pesa za Debt Conversion sijui what is going on hawajanunua thamani tangu miaka ya tisini. Kama meza ziko hivyo magodoro je sijui kama hata ule mfumo wa fire fighting equipment kama bado unafanya kazi baada ya kujitoa Sheraton!!!

Kaazi kwelikweli....hizi mgt za kihind ni za kuwa nazo makini sana..kuna hotel moja zanzibar inaitwa ZANZIBAR BEACH RESORT nayo mgt ni wapuuzi kwelikweli...General manager muhindi anataka ahusishwe kwenye kila kitu. nilienda kikazi for 2weeks paying 128USD/night for bed and b/fast,mke wangu akanitembelea for two days, nikamreport Guest relations office na nikaruhusiwa kumaccomodate bila kuongeza malipo ila ninunue b/fast na vyakula. siku ya check out reception wakakomaa nami wakitaka nilipe 60USD for accomodating my wife wakidai yule mtu wa guest relations hajui kitu...nikakubaliana bila kusign later invoince imekuja ya USD120 extra charge for accomodating my wife,nikaongea na reservation manager tukakualiana kuwa nilipe USD60 direct bila kupitia agent...GM akaja kupinga kila kitu na kuamuru ilipwe USD120 na kudai wafanyakazi wake wote guest relations,reception na reservation manager hawajui chochote. Nimeilipa ila nimesikitika sana,hotel kubwa kama ile na vyumba kama 85 ina GM mpuuzi kama huyu. nikiwa pale kila mgeni lazima awe na debate nao kabla ya kuondoka.....kwa kadri siku zinavyokwenda hotel mojamoja inaonekana kioja....mwisho watu wataogopa kuitembelea TZ
 
Back
Top Bottom