Kabla sijachangia atokee mtu anijibu!
Najua hiyo hoteli ilijengwa pale na J.W.Ladwa baada ya Mwinyi kuwaruhusu akina Subash Patel kujenga pale baharini Sea Cliff kinyume na sheria. Kwa sababu Ladwa ni wa mjini akala njama apewe kile kiwanja pembeni mwa Police Mess kwa vile Mwinyi alikuwa anashauriwa na mkewe Sitti sijui kama hajamkimbia alishindwa kuwakemea wale maafisa wa ardhi walikaidi amri yake. Waziri Lowasa akiwa Ardhi alipewa rushwa na hao wahindi ili awaachie ule uwanja kwenye kona ya maktaba na Bibi Titi pesa akajimegea eneo la wazi karibu na Raha Towers inayomilikiwa na MKE wa Mwinyi akajengea ile Masai house!! Mkapa aliapa kubomoa Golden Tulip kwenye kampeni ya 2005 mapaka leo hakuna kilichofanyika.
Ile hoteli na nyinginezo hapa Dar zinaendeshwa na management za kihindi hata ile ya New Africa aliyojiuzia Mwinyi na akina Daniel T Arap Moi aliyekuwa rais wa Kenya. Zote ni chafu kupindukia kwani si mnafahamu asili ya wahindi!! Hawaajiri watu wa kudumu na mshahara kidogo ukijumlisha na vyakula kiporo haviishi jumla yake mahoteli yote hata Moevenpick kuna mende wa kutisha. Kama unabisha kesho asubuhi au usiku huu nenda pale ufunue kitambaa cha meza uone hiyo meza ni uchafu. Zimefumuka sijui hiyo serikali inawapa waendeshe kwa makataba gani. Hiyo Hoteli ilijengwa kwa pesa za Debt Conversion sijui what is going on hawajanunua thamani tangu miaka ya tisini. Kama meza ziko hivyo magodoro je sijui kama hata ule mfumo wa fire fighting equipment kama bado unafanya kazi baada ya kujitoa Sheraton!!!