Goldie Harveys Husband Blasts Prezzo - Youve Caused Enough Hurt & Pain

If real God exists, all Women diserve double punishment to Hell. They have been the major source of the Socio-psychological torture of the mankind on the Earth now and then.

"Oooh God, forgive me for having this perception towards Women."
 
Duniani kuna siri..huyo mzungu alikuwa wapi siku zote hizoo??nahisi hapo ndoa ilikuwa haipo..ilikuwa ndoa jina tu. R.IP Goldie
 
He he.....kweli dunia ina viroja......kwa hiyo alikuwa katulia akiangalia mkewe akiliwa.......kweli dhiki haina adabu......

Nawe na vimbwanga vyako! Nimecheka sana na comment zako, lakini kama mpenzi wangu ndio anapenda nifanye nini nami nampenda na nataka ainjoy?
 
Naanza kuamini ndoa ni ndoano,kuna mengi sana huwa yanajificha
 
If real God exists, all Women diserve double punishment to Hell. They have been the major source of the Socio-psychological torture of the mankind on the Earth now and then.

"Oooh God, forgive me for having this perception towards Women."


Ahahahahaha!! Una wangapi weye!
 
Nawe na vimbwanga vyako! Nimecheka sana na comment zako, lakini kama mpenzi wangu ndio anapenda nifanye nini nami nampenda na nataka ainjoy?


Umejuaje? " Ukinifuatafuata husband naenda Omba talaka. It will be over, I swear!"
hii mbona kawaida.
 
hivi kumbe goldie alikua mweusi kama sisi tu?mbona mwishoni alikua cheupe dawa?:A S angry: mmmh wanawake mkorogo utatumaliza khaa
 
wangu yupo sitting rum na laptop yake, naona yupo hapa hapa kwenye hii thread! halafu nakatwa jicho la hasira kila nikipita mbele yake! mbona tutaonekana kama nyanya mbichi?? jamani siyo wote tupo hivyo! NAJUA ATASOMA HAPA, Maana yupo kwenye huu uzi!

hahahhahaaa mke mwenza unalo hilooooo


ila nilichoona kuwa mkorogo si mchezooooooo
 
RIP dear Goldie.. Nakukumbuka sana moment zako za kulia lia ovyo kwenye BBA.

Kuna watu wanachekesha humu .. Eti kumbe aliwahi kuwaga mweusi.. Hahaaaaaa ukiwa mweusi na ukataka kuwa mweupe ni pesa yako tu lol ..chezeya obagi wewe alaaa!

Weusi tu ndo inabidi uongee na SIR GOD akusaidie.

Hiv kumbe ukifa ndo inakuwa hiv lolz. Coz anajua hatutakuwa na uwezo wa kusikia other side of the coin...

Huyo anae jiita mume ana wazimu.. Anachekesha .. Alikuwa wapi?????


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
marehemu alikua na sura zito kipindi cha usichana, khaa!
 
yapo yaliyojificha.mimi ninaamini maybe walikuwa separate,otherwise asingekuwa na prezzo hadharani namna hiyo.alivyokufa ndio anamwaga mapicha.na akafanya mahojiano.maybe yeye{huyo mzungu}ndio alikuwa hatakiwi,na yatasemwa mengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…