NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ina maana hamjaona alichokifanya Aishi Manula kwenye Michuano ya AFCON??
Kwani goli tano alizofungwa na Mtani ni Mara ya kwanza kuookea kichapo Kama hicho??
NALIA NGWENA nikiulizwa ni wachezaji gani walifanya vizuri katika michuano ya AFCON kutoka Taifa stars basi jina la AISHI MANULA sitoliacha lazima nitaliweka kutokana na kiwango Bora alichokionesha hakika mwamba "he is the best"
Manula Sasa kiwango chake kinarejea na kupitia michuano hii Ya AFCON amini usiamini confidence yake itaongezeka mno.
Goal keeper Ayub ajipange maana nae anasua sua sana akiwa langoni na Hana ubora Kama Aishi Manula na hajaufikia kwa muda aliokaa Golini.
Maoni Yangu: Goli tano za mtani alizofungwa Manula zisitufanye tusimpe Manula Maua yake Kwa kiwango alichokionesha AFCON.