Mpaka leo mnapost tu ,hamjawahi kuona kwenye football kumfunga simba goli 5Aisee kumbe maumivu ya 5G bado hayajaisha
Pole sana unateseka ukinywa mbege wapi?. Ukiongezeka umri kidogo utajifunza namna ya kujibalance na mateso ya muda mrefu kuhusu YANGA. Vinginevyo utateseka sana. YANGA ya motoMnajisifia mnashinda goli 5, mtuonyeshe ni mechi zipi mmefunga 5 bila penati?
Tuliwapiga 6-0, 5-0 -4-1 , zote safi bila tuta za mchongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga tulimpiga 6 na 5 zote ,na bila penati nashangaa mmekuwa malimbukeni wa goli 5-1Pole sana unateseka ukinywa mbege wapi?. Ukiongezeka umri kidogo utajifunza namna ya kujibalance na mateso ya muda mrefu kuhusu YANGA. Vinginevyo utateseka sana. YANGA ya moto
Mkuu sio mbili ni penati 3 plus red kadi juuSikia hii Mbumbumbu, nyie si ndio mlifunga penalti mbili kabisa, Felix Sunzu na Kaseja?
Kila nawaambia msipende kuacha smartphone mezani, madogo wanapost sana.
Hawa madogo wanabahatisha sana.Mkuu sio mbili ni penati 3 plus red kadi juu
Weka video tuoneYanga tulimpiga 6 na 5 zote ,na bila penati nashangaa mmekuwa malimbukeni wa goli 5-1
Sent using Jamii Forums mobile app