Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 14,809 Reaction score 11,825 Dec 21, 2016 #1 Hii kitu nimeikuta youtube Mdau Rashid kihwelo kaamua kuitupia apate Majibu wacha na mimi niilete humu kiamuliwe Mimi nasema ni Goli na sio goli
Hii kitu nimeikuta youtube Mdau Rashid kihwelo kaamua kuitupia apate Majibu wacha na mimi niilete humu kiamuliwe Mimi nasema ni Goli na sio goli
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,680 Dec 25, 2016 #3 Kama ni penati tano tano hilo sio goli kama ni ndani ya mchezo Wa kawaida hilo ni goli
Yasin21 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 667 Reaction score 402 Dec 25, 2016 #4 Mc Tilly Chizenga said: Kama ni penati tano tano hilo sio goli kama ni ndani ya mchezo Wa kawaida hilo ni goli Click to expand... Kwann lisiwe goli wakati mpira ulikuwa kwenye move bado
Mc Tilly Chizenga said: Kama ni penati tano tano hilo sio goli kama ni ndani ya mchezo Wa kawaida hilo ni goli Click to expand... Kwann lisiwe goli wakati mpira ulikuwa kwenye move bado