Kulingana na sheria ya FIFA mpira unatakiwa uwe umeingia wote ndani ya mstari wa goli "whole of the ball crosses over the goal line between the posts and underneath the crossbar". Kwa vile ule mpira ni robo tatu yake ndio ilikuwa ndani na robo bado ilikuwa kwenye mstari haikupaswa kuwa goli..