Goli kipa Manula Mechi tatu (3)magoli kumi (10)

Goli kipa Manula Mechi tatu (3)magoli kumi (10)

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Hii ni aibu kwa kipa nambari moja Tanzania kupigwa goli nyingi kiasi hiki... Kwasasa Manula hastahili kuwa kipa namba moja, aibu kwa taifa na clab.... Na akiendelea kuwa kipa namba moja pale Simba ujue kuna limkono la mtu!
The 🛑 🦁🦁🦁🦁🦁
#Nguvu Moya!
 
Subiri kwanza wacongo watupakie mkongo ndio utahesabia vizuri. Atafungwa goli 20 huyo ndani ya mechi 5
Huyu ndugu alilindwa na Mabeki wa Simba Ila pale hamna kitu kwasasa na asingejilazimisha kudaka MECHI ya Yanga asinge pata aibu hii inayoendelea mpaka Sasa!
 
Back
Top Bottom