Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Benitez yupi mkuu?Na huo ndo uhalisia.Bila kutoa miguu mpira ule usingeingia wavuni.Halafu anaonekana kwa makusudi kabisa anainua miguu na kuupisha mpira uende hilo ndo limemkost.Labda lingekuwa goli kama mpira ungekuwa katika high speed ukamgonga ukaingia ila yeye anaukwepa kabisa ule ni uhuni.
NB:Benitez kala umeme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huo ndo uhalisia.Bila kutoa miguu mpira ule usingeingia wavuni.Halafu anaonekana kwa makusudi kabisa anainua miguu na kuupisha mpira uende hilo ndo limemkost.Labda lingekuwa goli kama mpira ungekuwa katika high speed ukamgonga ukaingia ila yeye anaukwepa kabisa ule ni uhuni.
NB:Benitez kala umeme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio sababu ya kukataa offside. Inaangaliwa wakati mpira unapigwa mchezaji wa mwisho alikuwa wapi!
Kawaida mpira ukimgusa mchezaji wa timu pinzani kbl ya kukufikia wewe hata kama ulikuwa kwenye offside pisition hiyo inakuwa sio offside tena, so hata kama Sigurdson alikuwa kwenye offside position, but kitendo cha mpira kumgusa maguire kbl ya kupishwa na sigurdson ile sio offside tena, na hata km sigurdson angeugusa km ulimgusa maguire mwanzo nayo pia sio offside.Hiyo sio sababu ya kukataa offside. Inaangaliwa wakati mpira unapigwa mchezaji wa mwisho alikuwa wapi!
No.Hiyo sio sababu ya kukataa offside. Inaangaliwa wakati mpira unapigwa mchezaji wa mwisho alikuwa wapi!
Kwa case yako hiyo uko sahihi (kipa akiokoa mpira na ukamkuta mshambuliaji aliyekua offside).No.
Huujui mpira; mpira ukipigwa kipa akaucheza halafu mchezaji wa timu pinzani hata km akiwa kwenye offside position akiuwahi akafunga goli linakuwa halali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa ila unatakiwa kujua kwamba offside inaanza kuhesabika wakati mchezaji wa mwisho wa timu yako alipougusa mpira.Kawaida mpira ukimgusa mchezaji wa timu pinzani kbl ya kukufikia wewe hata kama ulikuwa kwenye offside pisition hiyo inakuwa sio offside tena, so hata km sigurdson alikuwa kwenye offside position, but kitendo cha mpira kumgusa maguire kbl ya kupishwa na sigurdson ile sio offside tena, na hata km sigurdson angeugusa km ulimgusa maguire mwanzo nayo pia sio offside.
Pale refa kashindwa kutafsiri sheria ndio maana everton wanalalamika, ni kweli walinyimwa goli halali kwa VAR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Navyojua mpira ukimgonga/kumgusa mpinzani iwe bahati mbaya au vingine hapo offside inakuwa imekufa, vyema uweke hiyo sheria hapa kama unayo tuione.Kwa case yako hiyo uko sahihi (kipa akiokoa mpira na ukamkuta mshambuliaji aliyekua offside).
Kwa case ya leo msingi mkubwa uko hapa; je
1. Maguire aliupiga mpira kwa makusudi (deliberately kicked the ball so as to save)
2. Mpira ulimgonga (It was a deflection)
Kama jibu ni namba moja hapo juu, basi atakua amevunja offside ya Siggurdson na hivyo goli lile kuwa ni halali.
Kama jibu ni namba mbili hapo juu, basi Siggurdson anabaki kuwa ameotea na hivyo goli lile sio halali.
Ni sawa unaposema "offside inaanza kuhesabika" ila pia ukumbuke "offside hubadilika muda wowote" kutegemeana na movement za wachezaji.Ni sawa ila unatakiwa kujua kwamba offside inaanza kuhesabika wakati mchezaji wa mwisho wa timu yako alipougusa mpira.
Kwahiyo endapo sigurson asingekuwa kwenye eneo la offside wakati mchezaji wa timu yake alipouwa anapiga lile shuti
Basi isingekuwa offside.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile ni goli halali kabisa! Halima Gwaya aliugusa mpira na kuivunja offside.
Sent using Jamii Forums mobile app
Navyojua mpira ukimgonga/kumgusa mpinzani iwe bahati mbaya au vingine hapo offside inakuwa imekufa, vyema uweke hiyo sheria hapa kama unayo tuione.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuelezee kwanini goli la chirwa lilikataliwa Jana?No.
Huujui mpira; mpira ukipigwa kipa akaucheza halafu mchezaji wa timu pinzani hata km akiwa kwenye offside position akiuwahi akafunga goli linakuwa halali.
Sent using Jamii Forums mobile app