Goli la faulo la Mfalme la zaidi ya mita 20 na assist yake ya tiki-taka dhidi ya Sampdoria

DesertStorm

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
3,131
Reaction score
2,537
MICHEZO VIDEO: Goli la faulo la Mfalme Messi la zaidi ya mita 20 na assist yake ya tiki-taka dhidi ya Sampdoria; fungua ujionee mwenyewe
Screenshot_2016-08-11-17-36-56-1.png

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Leonel Messi, usiku wa August 10 2016 aliingia kwenye headlines kutokana na uwezo wake aliouonesha katika mchezo dhidi ya Sampdoria.

Katika mchezo huo FC Barcelona walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-2 magoli ambayo mawili yalifungwa na Mshambuliaji wao Lionel Messi na kutoa assist ya goli moja kwa Luis Suarez, kivutio kikubwa kilichomfanya Mfalme huyu aingie kwenye headlines ni kufunga goli la faulo umbali wa mita zaidi ya 20 na kutoa assist ya tiki-taka kwa Suarez.

VIDEO: Goli la faulo la Messi la zaidi ya mita 20 na assist yake ya tiki-taka dhidi ya Sampdoria - millardayo.com

Labda ni Mfalme kwenye Familia yenu pakee....siku hizi na yeye kaanza ushoga

Mziki Mnene ni Ibrahimovic ndio anashikilia record ya Goli kali

Yaani Adui yako anakufunga Goal na wewe unalifurahia kudadadeki
Pia Goli alilofunga Papis cisse Newcastle vs Chelsea Drogba alicheka badala ya kusikitika

Wewe hamnazo
 
Nenda kahubili mzee, mambo ya soka tuachie sisi tunaofatilia all time....
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nenda kahubili mzee, mambo ya soka tuachie sisi tunaofatilia all time....
Soccer kwa style yako hii ya kusifia uongo wakati wenye record zao wapo wewe ni Shabiki Maandazi... Messi sikuhizi Shoga so kumpa Ufalme labda wa Ushoga... weka record zake ueleweke sio alichofanya MeSSi ni cha Kipekee pole Sana
 
Back
Top Bottom