Build-up ya goli la Geita gold ilianzia pale Ntibazonkiza aliposukumwa na kunyang'anywa mpira. Pamoja na kelele za mashabiki, refa alipeta na kilichotokea kinafahamika.
Goli HARAMU. Hongera kwa wachezaji wa Yanga kwa kuonesha ukomavu na kuamua kupigana kufa kupona kulinda heshima ya Wananchi.
Goli HARAMU. Hongera kwa wachezaji wa Yanga kwa kuonesha ukomavu na kuamua kupigana kufa kupona kulinda heshima ya Wananchi.