Haya mm Ni mwananchi 96% ila ile penat ni ya mchongo
Ilikuw Clear Foul Lakini Macho Kuvimba Wanajifanya Hawaoni Na Haikuishia Hapo Tu Mpaka Kwenye Ile Penalty Wanajifanya Hawaoni Pia Kama Yusuph Kadikilo Alinawa Kweli Wanasema Eti Refa Katubeba Tumemuhonga [emoji23]
Utani tag akileta maelezoElezea shida ya penati ni nini. Kama nilivyofafanua uharamu wa goli la Geita gold
Utani tag akileta maelezo
Kwamba hakushika mpira?Haya mm Ni mwananchi 96% ila ile penat ni ya mchongo
Huyo Yusuf kadikilo ndio yupo?Ilikuw Clear Foul Lakini Macho Kuvimba Wanajifanya Hawaoni Na Haikuishia Hapo Tu Mpaka Kwenye Ile Penalty Wanajifanya Hawaoni Pia Kama Yusuph Kadikilo Alinawa Kweli Wanasema Eti Refa Katubeba Tumemuhonga [emoji23]
Tuwe wa kweli,haiwezi kuwa penat kwasababu mpira ulitoka mguuni kwa mpigaji mwenyeweElezea shida ya penati ni nini. Kama nilivyofafanua uharamu wa goli la Geita gold
Haya mm Ni mwananchi 96% ila ile penat ni ya mchongo
Kwaio Wewe Mfano Ukiwa Kama Mchezaji Upo Na Mpira Kwenye Eneo La Penalty La Timu Yako Unaweza Ukabetua Mpira Kama Ukitaka Kuushika Unaweza Ukaushika Kidogo Kisha Ukapiga Mbele Na Ni Fresh TuTuwe wa kweli,haiwezi kuwa penat kwasababu mpira ulitoka mguuni kwa mpigaji mwenyewe
View attachment 2183380
Ukiushika kwa makusudi ni red card Ila ni faulu ndogo nje ya 18.Kwaio Wewe Mfano Ukiwa Kama Mchezaji Upo Na Mpira Kwenye Eneo La Penalty La Timu Yako Unaweza Ukabetua Mpira Kama Ukitaka Kuushika Unaweza Ukaushika Kidogo Kisha Ukapiga Mbele Na Ni Fresh Tu
hiyo ni kanuni ya ngapi kutoka wapi?Tuwe wa kweli,haiwezi kuwa penat kwasababu mpira ulitoka mguuni kwa mpigaji mwenyewe
View attachment 2183380
Ipigwe Foul Nje Ya 18?? [emoji23], We Umeona Kwenye Mechi Gani Iyo Duniani Hapa Mtu Kashika Ndani Ya Box Foul Nje Ya 18?Ukiushika kwa makusudi ni red card Ila ni faulu ndogo nje ya 18.
13 za fifahiyo ni kanuni ya ngapi kutoka wapi?
Kwani ni Mara ya kwanza kuona?Ipigwe Foul Nje Ya 18?? [emoji23], We Umeona Kwenye Mechi Gani Iyo Duniani Hapa Mtu Kashika Ndani Ya Box Foul Nje Ya 18?
Huu ni utopolo sasa maana yake ni kwamba penalt ni mpaka refa akupigie au Kocha maana kwa hii sheria ni kwamba hamna penalty kama mchezaji kashika mpira alopiga mwenyewe au aliopiga mchezaji mwingine.Tuwe wa kweli,haiwezi kuwa penat kwasababu mpira ulitoka mguuni kwa mpigaji mwenyewe
View attachment 2183380
MAKOLOKOLO HOYEEEEEEE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya mm Ni mwananchi 96% ila ile penat ni ya mchongo