Goli la kisigino la Giroud na Micky

Greatguy

Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Kelele zimekuwa nyingi mtaani, tuwe wakweli kati ya goli la Giroud - Arsenal na Mikhytarian - Man Utd lipi kali zaidi? Usibishane bila fact. Enockino nimeona post yako still watu hawajatiririka kwa fact ndo sababu nikaleta tena hizi picha hapa.


 
weka video bhn kwan pichan hakuna goli tukaona yaliingiaje na si wote wametazama hizo mechi by the way mim nikiwa shabiki wa soka naamin goli la Giroud ni bora kwan kitu inegonga besera ya juu na la miki ni zuri ila alikuwa offside position na km unavyojua man wanafunga magoli ya ofside mf jana dhid ya WHU.
 
 
Micktarian ndo Scorpion kick yenyew hakuangalia mpira kapiga toka kikanyagio cha mguu lkn la Giroud kwanza kaungalia mpira alaf kapigia pemben ya mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…