OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii ni kwa tunaojua mathematics tuView attachment 1511272
Hapa mguu wa Konde Boy ulifanya kitu kinaitwa Trigonometric Equation:
View attachment 1511261
Ni goli dhidi ya Alliance FC,likipigwa kwa mtindo wa curve
Tuliosoma Pure Maths,vitu vya paper II hiviHii ni kwa tunaojua mathematics tu
Uchumi Wa KatiTuliosoma Pure Maths,vitu vya paper II hivi
Kwel kbsaTuliosoma Pure Maths,vitu vya paper II hivi
Inatengeneza parabola kabla ya kuwa na uelekeo wa tansh-1(@) ili kuingia kambaniTuliosoma Pure Maths,vitu vya paper II hivi