Kiungo msambuliaji wa Simba SC (fundi) Chama Jr, ameibuka mchezi bora wa CAF Champions League raundi ya tano kwa kishindo, baada ya kumpatia mateso ya hali ya juu golikipa wa as vita club ya kongo.
Chama Jr ni fundi sana ukifuatlia gemu zake jamaa huw anatulia san akiw kweny box ana uwezo wa kufunga au kutoa assist huw nawakubar san wachezaj wanaojiamn na kufanya maamuz yanayoelewek wakiw ndan ya kum nane za mpinzan,
Jamaa ni mtesaj haswa!