Acha hizo mkuuSalaa mwakani njoo man u ...liver si hadhi yako[emoji41]
Kweli kabisa mkuu maana goli lake ni lakawaida Sana, goal la ronaldo linaweza kuingia hata top 3 ya puskas award sidhan Kama la mo salah Kama litaingia hata top 10.Sometime hizi ndizo hasara za Democracy (maana ni kutokana na kura za watu) ila kiukweli Goli la Ronaldo lilifaa kuwa namba moja.
Sasa MAN U akacheze na akina Matteo DARMIAN,Fellaini.Salaa mwakani njoo man u ...liver si hadhi yako[emoji41]
Man u Ina cha nini cha maana kuisifia Liverpool? Uefa man u 3 liver Tano na ya mwaka huu ya sita,Premier ligi man u 20,liver 18.Achana na Europa na FA.Au mkuu imeanza kufuatilia mpira 2013 alipostaafu Sir Ferguson?Salaa mwakani njoo man u ...liver si hadhi yako[emoji41]
Man u Ina cha nini cha maana kuisifia Liverpool? Uefa man u 3 liver Tano na ya mwaka huu ya sita,Premier ligi man u 20,liver 18.Achana na Europa na FA.Au mkuu imeanza kufuatilia mpira 2013 alipostaafu Sir Ferguson?
Hayo ni maoni yako na walio ona goli la Salah ndio goli bora la wiki nao ni maoani yao,kama goli la Salah ndio limechaguliwa kua goli bora la wiki basi huwezi pindisha matokeo,huna budi kukubaliana na mawazo ya wengi,Sometime hizi ndizo hasara za Democracy (maana ni kutokana na kura za watu) ila kiukweli Goli la Ronaldo lilifaa kuwa namba moja.
Hayo ni maoni yako na walio ona goli la Salah ndio goli bora la wiki nao ni maoani yao,kama goli la Salah ndio limechaguliwa kua goli bora la wiki basi huwezi pindisha matokeo,huna budi kukubaliana na mawazo ya wengi,
Mo Salah ni moto na yupo on fire,anajituma uwanjani,hakukaa tu golini na kuvizia mipira kama bwana yule!
Ubaya wa kuwapa mashabiki uhuru wa kuchagua. Sadio Mane alishinda tuzo ya mchezaji bora wa week pia kwa kura za mashabiki wa Liverpool.
Kwenye ushindani wowote unaohusisha mashabiki kupiga kura mashabiki w Liverpool wapo active sana na huwa wanapiga kura kwa wingi sana.
Huo ni mtazamo wako,na kila mtu ana mtazamo wake,ndio goli lake limeshapita hivyo tayari mkuu.Alivyochop tu vile ule mpira kuna ubora gani ?
Unaumwa weweSalaa mwakani njoo man u ...liver si hadhi yako[emoji41]