Goli la msimu ni la Ajibu Migomba

Mkuu mbona msimu wa Mpunga bado?? Au unazungumzia msimu wa nyanya??
 
Tusilisahau hats like gori LA Awadhi Juma was A.Lyon, maana ilipigwa fatal nje ya 18, Manula alibaki kasimama akiweweseka na kizunguzungu. Uwanja wooote ulikaa kimyaaa.
 
Kwa nini alikuwa Hana upinzani wowote kutoka kwa mabeki wa Mbao? Walizembea? Walifanaya makusudi? Walikosea kujipanga? Walishtukizwa? Sidhani kama walizembea makusudi. Sidhani kama waliwachia makusudi. Ni kwa sababu shambulizi lenyewe (counter attack) halikuwapa muda wa kujipanga vyema, na kwa hivyo hiyo unayoiona ni kasoro ndio sifa mojawapo ya goli hilo. Na hichi ndicho kinachokosekana kwenye fowadi nyingi za Ligi Kuu, ikawamo Simba na Mbao . Wanashambulia sana, lakini bila ya mpangilio unaoeleweka na kwa taratibu sana. Bila ya kuwa na kasi wakati wa mashambulizi, wapinzani huwa hawafanyi makosa. Mnaishia na kosakosa nyingi, ambazo washabiki huona ndio magoli ya wazi. Hoja yangu ni kuwa kweli ni mojawapo ya magoli mazuri kuwahi kufungwa Uwanja wa Taifa, na hakuna sababu ya kulitafutia kasoro.
 
Ajib ni zao la bombom fc,sasa uliza hao bombom fc wanafanyia uwanja gani mazoezi yao ndio utamjua vizuri ajib,halafu familia ya mzee migomba pale yote ni Yanga lia lia,ila endelea kujipa moyo tu mkuu
 
Ajib ni zao la bombom fc,sasa uliza hao bombom fc wanafanyia uwanja gani mazoezi yao ndio utamjua vizuri ajib,halafu familia ya mzee migomba pale yote ni Yanga lia lia,ila endelea kujipa moyo tu mkuu
Mkuu.. Hili la familia nzima ya Kichuya kua Yanga lia lia na kila siku Shiza Ramadhani Kichuya anapeleka kilio nyumbani kwao pale Mnyama Mkali, Simba SC anapokutana na Ndala unalizungumziaje?
 
Mkuu.. Hili la familia nzima ya Kichuya kua Yanga lia lia na kila siku Shiza Ramadhani Kichuya anapeleka kilio nyumbani kwao pale Mnyama Mkali, Simba SC anapokutana na Ndala unalizungumziaje?
Kichuya atakuja tu kwenye timu yake ya moyoni,ile ni kama punish tu kwetu,kwani msimu m1 nyuma kabla ajaenda mikia alikuja kuomba kusajiliwa kwetu but tukampotezea,so ni kama anatuprove wrong tu
 
Alipofunga dogo wa African Lyon lilionekana la msuli.

Hata hilo la Ajib, tulipe muda, yatakuja mengine mazuri tu,
 
Ajib ni zao la bombom fc,sasa uliza hao bombom fc wanafanyia uwanja gani mazoezi yao ndio utamjua vizuri ajib,halafu familia ya mzee migomba pale yote ni Yanga lia lia,ila endelea kujipa moyo tu mkuu
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…