Goli la Mudathiri kwenye mechi ya jana lilivyo nisaidia kupata mchumba jana Uwanja wa Mkapa

Goli la Mudathiri kwenye mechi ya jana lilivyo nisaidia kupata mchumba jana Uwanja wa Mkapa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa mfumo ambao Mungu ameutengeneza huu ulimwengu, you don't chase for the things that you want, you attract them.

How do u attract them?

By positioning yourself accordingly.

All I want in this life of sin is having good time and having good time only.

Popote ninakapo kwenda ninakwenda kutafuta good time.

So hata jana wakati naenda kwa Mkapa nilikuwa nimejiweka katika position ambayo nita attract vitoto vya kike walau viwili au vitatu na mimi nikavionjemo.

My preference age ni 18 to 22 as long as sio mwanafunzi wa secondary.

So kama kawaida yangu hiyo jana nilikuwa nimeloga ile kinomanoma(kuloga/kuroga? = kupendeza)

Nilienda na gari la tawi la Yanga la kijijini kwetu ( nje kidogo ya jiji la Dar es salaam/ Ilala rural)

Nilipachagua " kijijini" kwetu kama "a point of contact that will contact me with desire."

Na hii ni kwa sababu " Kijijini" kwetu kuna idadi kubwa sana ya watoto wa kike walio feli form four mwaka jana na juzi ambao wanaishi kwa wazazi wao na wengine wanasoma vyuo vya kati kama vile Veta.

So nilikwenda hapo tawini baada ya kufanya clandestine yangu na kugundua kuna idadi kubwa sana ya watoto wa kike wa kwenye kundi tajwa hapo juu ambao wamejiandikisha kwenye usafiri wa kwenda na kurudi kwa Mkapa. Magari yalikuwa sita na watu zaidi ya mia2 na ushee kati yao watoto hao ninao wataka wapo zaidi ya 70.

So I said this was the place to be..

MAANDALIZI YA SIKU YANAANZA.

Kuamkia Siku hiyo nililala kijijini kwetu. Niliamka na supu nzito ya mbuzi. Kisha baada ya kama dakika 40 nikapiga ( Grilled Irish Potatoes na nyama ya mbuzi iliyo kaangwa kama kilo moja)

Grilled Irish Potatoes = Viazi Ulaya vinaoshwa kisha unavigrill kwenye jiko la mkaa lenye moto unaowaka taratibu kisha vinaliwa. Unaweza Kumix na pilipili kwa ajili ya kuongeza ladha. Ni chakula mujarrab sana..

Kwanini nilikula hivi? Nilikula hivi kwa sababu nilikuwa na chupa nzima ya wine inaitwa " PINOT NOIR "kutoka Mzansi . It is one of the most best and healthiest wines on the face of planet earth.

Kawaida kabla sijanywa wine huwaga ninakula nishibe kwanza ndio nianze kulewa...

SIMU INAITA

Napigiwa simu na chawa wangu wa huku kijijini kwetu. Yeye ni mwanachama wa Yanga lia lia na ni mmoja kati ya watu waliopo kwenye kamati ya usafiri. Tumuite jina " Juma" .

Juma ananiambia " Kaka wapi Hiyo kaka muda si mrefu magari yanaanza kuingia halafu the genders wapo kama wote. Njoo fasta ili nijue tunakupanga kwenye gari ambalo tutawaweka watoto wengi halafu pia tutakupanga karibu na watoto wawili wakali ambao uta wata point.. ( kwenye safari kama hizi kunakuwaga na watoto fulani hivi watundu watundu)

NAKURUPUKA FASTA KUTOKA HOME KUWAHI TAWINI..( NAENDA NA BODA)

Nilipofika tawini, sikuamini macho yangu. I was like " Let me feed my eyes"
Ilikuwa sio mchezo mjomba. Huwezi kujua yupi mtoto wa geti yupi changu, wote wana meremeta kama mamtoni mwanangu".

Kama vile malaika wangu akaniambia hebu tazama upande wako wa kushoto. Nilipo tazama upande wangu wa kushoto sikuamini nilicho kiona..

Je unajua niliona nini? Itaendelea.

INTERESTINGLY: MTOTO NILIEMN'GOA TAIFA KWA SABABU YA GOLI KA MUDATHIR,NILIKUTANA NAE HUKO HUKO TAIFA.

PIA SOMA
- News Alert: - FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium
 
M
Kwa mfumo ambao Mungu ameutengeneza huu ulimwengu, you don't chase for the things that you want, you attract them.

How do u attract them?

By positioning yourself accordingly.

All I want in this life of sin is having good time and having good time only.

Popote ninakapo kwenda ninakwenda kutafuta good time.

So hata jana wakati naenda kwa Mkapa nilikuwa nimejiweka katika position ambayo nita attract vitoto vya kike walau viwili au vitatu na mimi nikavionjemo.

My preference age ni 18 to 22 as long as sio mwanafunzi wa secondary.

So kama kawaida yangu hiyo jana nilikuwa nimeloga ile kinomanoma(kuloga/kuroga? = kupendeza)

Nilienda na gari la tawi ka Yanga la kijijini kwetu ( nje kidogo ya jiji la Dar es salaa/ Ilala rural)

Nilipachagua " kijijini" kama a point of contact that will contact me with desire.

" Kijijini" kwetu kuna idadi kubwa sana ya watoto wa kike walio feli form four mwaka jana na juzi ambao wanaishi kwa wazazi wao na wengine wanasema vyuo vya kati kama vile Veta. Wamemaliza form 4 mwaka jana na mwaka juzi.

So nilikwenda hapo tawini baada ya kufanya clandestine yangu na kugundua kuna idadi kubwa sana ya watoto wa kike wa kwenye kundi tajwa hapo ambao wamejiandikisha kwenye usafiri kwa kwenda na kurudi kwa Mkapa. Magari yalikuwa sita na watu zaidi ya mia2 na ushee kati yao watoto hao ninao wataka wapo zaidi ya 70.

So I said this was the place to be..

MAANDALIZI YA SIKU YANAANZA.

Siku hiyo nililala kijijini kwetu. Niliamka na supu nzito ya mbuzi. Kisha baada ya kama dakika 40 nikapiga ( Grilled Irish Potatoes na nyama ya mbuzi iliyo kaangwa kama kilo moja)

Grilled Irish Potatoes = Viazi Ulaya vinaoshwa kisha unavigrill kwenye jiko la mkaa lenye moto unaowaka taratibu kisha vinaliwa. Unaweza Kumix na pilipili kwa ajili ya kuongeza ladha. Ni chakula mujarrab sana..

Kwanini nilikula hivi? Nilikula hivi kwa sababu nilikuwa na chupa nzimaya wine inaitwa " PINOT NOIR " . It is one of the most best and healthiest wines on the face of planet earth.

Kawaida kabla sijanywa wine huwaga ninakula nishibe kwanza ndio nianze kulewa...

Napigiwa simu na chawa wangu wa huku kijijini kwetu. Yeye ni mwanachama wa Yanga lia lia na ni mmoja kati ya watu waliopo kwenye kamati ya usafiri. Tumuite jina " Juma" .

Juma ananiambia " Kaka wapi Hiyo kaka muda si mrefu magari yanaanza kuingia halafu the genders wapo kama wote. Njoo fasta ili nijue tunakupanga kwenye gari ambalo tutawaweka watoto wengi halafu pia tutakupanga karibu na watoto wawili wakali ambao wata point..

NAKURUPUKA FASTA KUTOKA HOME KUWAHI TAWINI..( NAENDA NA BODA)

Nilipofika tawini, sikuaminu macho yangu. I was like " Let me feed my eyes"
Ilikuwa sio mchezo mjomba. Huwezi kujua yupi mtoto wa geti yupi changu, wote wana meremeta kama mamtoni mwanangu".

Kama vile malaika wangu akaniambia hebu tazama upande wako wa kushoto. Nilipo tazama upande wangu wa kushoto sikuamini nilicho kiona..

Je unajua niliona nini? Itaendelea.

INTERESTINGLY: MTOTO NILIEMN'GOA TAIFA KWA SABABU YA GOLI KA MUDATHIR,NILIKUTANA NAE HUKO HUKO TAIFA.
Pumb*vu ww
 
Ilikuwa sio mchezo mjomba. Huwezi kujua yupi mtoto wa geti yupi changu, wote wana meremeta kama mamtoni mwanangu".
Mkuu n hatarii n hatari Tena hatari na nusu ,kulaa mbususu mkuu ukiwa na nguvu menginee n majaliwaaa..

Leo mm nimejiita Ahmed kisa nimekutana na mwanaishaa Ili tu nichukue namba ..
 
Tuwe macho.

Ikitoka tu, ikiwa ni katoto kanarap na mzee mwenzetu mwenye kitambi kalewa.

Hitimisha, ni yeye.
Avae tu mask ya konde boi, shemeji atamtambua tu kwa kitambi,ukuni na zile mbuno anazompaga shemeji.. na ajiandae kukataa kwa asilimia zote, jibu kuu ni duniani wawili wawili.
 
Back
Top Bottom