Goli la Mudathiri kwenye mechi ya jana lilivyo nisaidia kupata mchumba jana Uwanja wa Mkapa

Unazeeeka Vibaya mkuu na unaonekana kituko. Una miaka 10 na zaidi JF means umri wako ni 40+ unatakiwa uwe na watoto wako form Six nk nk lkn stori na mada zako kadri siku zinavyosogea hazionyeshi kwamba unaenda kuzeeka ukiwa na busara bali unaenda kuwa Mzee wa Hovyo hovyo sana.
 
Just finish the fucking story bro😠
 
Sijasoma uzi ndani la title inaniambia kuwa kuwa kuna mtu anenda kupata Gono na UKIMWI wa bei cheee
 
Unataka niongelee mambo ya rasimu ya katiba ya warioba ndio nionekane nna busara?.

U love to stress urself
 
Mkuu n hatarii n hatari Tena hatari na nusu ,kulaa mbususu mkuu ukiwa na nguvu menginee n majaliwaaa..

Leo mm nimejiita Ahmed kisa nimekutana na mwanaishaa Ili tu nichukue namba ..
100% perfect
 
Lakini LIKUD si upo kwenye 70’s jamani?
Ukiwa Yanga huzeeki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Anyways am only 39 years young.

But I look 15 years younger than my age.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…