Goli la Sakho laingia tatu bora, Barbara ajiandaa kupokea tuzo

Goli la Sakho laingia tatu bora, Barbara ajiandaa kupokea tuzo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Goli la dogo Pape Sakho ambalo linawania Tuzo ya Goli Bora la Mwaka la CAF limeingia kwenye orodha ya magoli matatu ya mwisho ambayo yanawania tuzo hiyo.

Sakho anachuana na Gabadinho Mango wa Orlando Pirates na Zouhair El Mountaraji wa Wydad Athletic Club.
.
Tuzo hizo zitatolewa kesho Alhamisi ya Julai 21, 2022 huko Rabat, Morocco

My Take
CEO nyoosha suti maridadi ya kupokea tunzo. Nasema hivyo kwa sababu nikiangalia magoli ya wengine hakuna goli la kulizidi goli letu. Lile ni goli ni kufuru, ni goli la kidunia
 
I looooooove you Simbaaaa. Mambo kama hzi ndo tunasema timu kubwa rekodi kama hizi zinatunzwa. Kila la heri Sakho
 
Back
Top Bottom