Goli la Shiza Kichuya(Simba SC) lachorewa mchoro Kisayansi

goli kama lile hutokea tena kila baada ya miaka 10 duniani kote.safari hii limepatikana TANZANIA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani watu waongo. Aisee MISIMBA miongo jamani. Yani goli limekuwa goli. Mbona watu tunapiga magoli kama hayo mengi tu kila siku kwa wake zetu
 
Huo
Mbona picha inaonesha anapigia kulia wakati alitumia kushoto kufunga goli...........au mchoro wa kwako huu???!!!
Huo ni mguu wa kushoto ila picha hiyo ni mirror image....kama vile unavyojitazama kwenye kioo...kulia kunaonekana kama vile kushoto. Umeona eeh?
 
Kwa mimi naona ni zaidi ya Trig, nafikiri ni hyperbolic au Projectile Motion.
Duhh umenikumbusha mbaaali sana. Kitu kinalea huku kiko kwenye mkunjo wa mwendokasi
 
Kichuya alifanya mambo ya projectile motion... Bila mwenyewe kujua..
 
Tatizo simba wanakelele sana,hawana tafauti na vyura wa masika. Kelele nyingi ukirusha jiwe moja tuu woooooote kimyaaa
Hapo kwenye redi unataka kumaanisha nini?usije kumaanisha vyura wa bonde la Kaunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…