shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
kwani mmefika fainali ya club bingwa?...........naomba ratiba ya club bingwa, Daima Mbele
Point 5 gap linatosha,na wanoko wote tumeshawamaliza...........naomba ratiba ya club bingwa, Daima Mbele
Bora ya LIPULI imepanda daraja mkuu, LIPUMBA ni PUMBA kabisaLipumba ama LIPULI??
Hadi leo,Manara hajamuoa Wema Sepetu.Nilichogundua sisi mashabiki wa simba hatuna ngebe Sana ndo maana manara anadunda mjini ila muro amekula ban