Goli la Simba dhidi ya Mbeya City na Goli la Brentford dhidi ya Arsenal

Goli la Simba dhidi ya Mbeya City na Goli la Brentford dhidi ya Arsenal

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
6,311
Reaction score
9,027
Jana wakati nafuatilia mechi ya Arsenal na Brentford nimeona mfanano mkubwa wa tukio kwa haya magoli.

Hebu tutafakari na nafasi ya Waamuzi, maana sisi wa nje ni wepesi sana wa kuhukumu tukisahau kwamba tuna faida ya kurudia kuangalia tukio zaidi ya mara hata tano.

Brent Vs Arsenal anzia dk ya 1:30

Kumbe unaweza kuangaalia mpira halafau tukio likarudiwa na usielewe. Ile imeamuliwa kuwa sio offside kwavile kwa marejeo ya replay yule mchezaji alifunga hakuwa kwenye nafasi ya kuotea wakati pasi inapigwa na kuna beki wa Arsenal yupo nae sambamba angalia baada ya kuchora mstari wa offside utaona mchezaji alikuwa onside na wameandika kabisa kuwa onside. Rudia kuangalia tena uelewe hata haifanani na ya Simba
IMG_20220220_114919.jpg
 
Kumbe unaweza kuangaalia mpira halafau tukio likarudiwa na usielewe. Ile imeamuliwa kuwa sio offside alifunga hakuwa kwavile kwa marejeo ya replay yule mchezaji kwenye nafasi ya kuotea wakati pasi inapigwa na kuna beki wa Arsenal yupo nae sambamba angalia baada ya kuchora mstari wa offside utaona mchezaji alikuwa onside na wameandika kabisa kuwa onside. Rudia kuangalia tena uelewe hata haifanani na ya SimbaView attachment 2124741
Pia wakati Chama anafunga hakuwa offside

Ila wakati Mpira uliomgonga beki wa Arsenal umepigwa Mfungaji si alionekana kama yupo offside?.

Na haifanani vipi wakati lineman alishakataa goli?, wewe na yeye nani alipaswa kuona vizuri zaidi?...huo si ndio utata ninaouzungumzia...kama sio VAR si lingekataliwa?...kama hilo lina utata na la Simba si pia limeleta utata?.
 
Angalia vizuri hukumu ya offside imeamuliwa kabla hata kufikiwa na tukio la mpira kumgonga beki wa Arsenal. Angalia hapo walipochora mstari kisha wakaandika kuwa onside angalia sehemu aliyokuwepo mfungaji halafu angalia sehemu aliyokwepo mchezaji wa Arsenal utagundua kuwa hakuwa amezidi na ndio maaana wakaandika onside. Hapo walipochora mstari je kuna tukio lolote la deflection?
 
Back
Top Bottom