Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
hongera TAIFA STARS
hilo ndilo neno nililosema baada ya mechi ya jana na wale wazungu
lakini bado naendelea kulijadili lile goli la kurudisha la taifa stars
nahisi waamuzi wetu wanatakiwa kuwa makini na kujua kazi iliyowaleta pale uwanjani....,yule mwamuzi jana alikuwa kwanza hatembeii yeye anapuuliza akiwa mbali na mpira...mistake hiyo ndiyo iliyomponza akaruhusu goli la kurudisha lilofungwa na mchezaji tegete;mungu akiwapa kurudia kuangalia upya mtamwona yule kijana....,alifunga kwa mkono..sasa bado najiuliza inatufundisha nini wamuzi wa bongo..na je mpira wetu utakuwa kwa sytle hii
la hasha kila la kheri
TAIFA STARS