DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Wazulu wa kuchovya mnalazimisha Amapiano huku mnacheza sindimba. Mbona huongelei goli la 1 la SA??Hizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya.
Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje washika vibendera hadi wasaidizi wa VAR waliruhusu lile goli? Katika zama hizi za VAR, kukubali goli kama lile ni kujidhalilisha tu.
Sitaki sana kuongelea zile penati mbili hasa ya pili ambayo ni wazi haikuwa penati.
Siwatetei South Africa ambao nilishasema wamekuja na timu mbovu na hawastahili kufika mbali katika mashindano na pia nasemaga siku zote napenda kuona timu mwenyeji haitoki mapema katika mashindano ili mashindano yasidode.
Tuongelee mpira. Wasouth siwakubali. Goli la kwanza la wasouth lina shida gani?Wazulu wa kuchovya mnalazimisha Amapiano huku mnacheza sindimba. Mbona huongelei goli la 1 la SA??
Hizo "home advantage" ni kwenye mechi za home and away siyo pale mashindano yote yanapofanyika eneo moja. Pia siyo katika scenario kama hizo za clear offsides zinazozalisha magoli.Uganda alipata kitu kinaitwa 'home advantage '...!
Kama maamuzi yangekuwa halali ilikuwa wang'oke
Acha bwana,zile ni penati very clear,wachezaji wa sauz walishika na goli la uganda halikuwa offside,hizi nchi za afrika mashariki hazina power kwa marefa,ila wanacheza kwa bidii na kujitoa sanaHizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya.
Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje washika vibendera hadi wasaidizi wa VAR waliruhusu lile goli? Katika zama hizi za VAR, kukubali goli kama lile ni kujidhalilisha tu.
Sitaki sana kuongelea zile penati mbili hasa ya pili ambayo ni wazi haikuwa penati.
Siwatetei South Africa ambao nilishasema wamekuja na timu mbovu na hawastahili kufika mbali katika mashindano na pia nasemaga siku zote napenda kuona timu mwenyeji haitoki mapema katika mashindano ili mashindano yasidode.
Penye ukweli usemwe. Angalia hata marudio, wali pause kuonyesha mfungaji alikuwa offside.Acha bwana,zile ni penati very clear,wachezaji wa sauz walishika na goli la uganda halikuwa offside,hizi nchi za afrika mashariki hazina power kwa marefa,ila wanacheza kwa bidii na kujitoa sana
Ndugu una shida zako binafsi. Zile zote zilikua penati halali kabisa rudi kaangalie marudio au la hujui unachokisema.Penye ukweli usemwe. Angalia hata marudio, wali pause kuonyesha mfungaji alikuwa offside.
Penati ya mkono, mchezaji ameruka, mpira umemgonga karibu na bega akiwa amegeuka upande wa pili haangalii mpira.
Nakubali wanacheza kwa bidii na nimefurahi wao kupita kuliko hata angepita SA ila ushindi wa figisu hauna vibe.
Sikutaka kuongelea sana penati maana ni ngumu kukubaliana. Unalizungumziaje lile goli katika zama hizi ambazo kuna macho 10 ya kumsaidia mwamuzi?Ndugu una shida zako binafsi. Zile zote zilikua penati halali kabisa rudi kaangalie marudio au la hujui unachokisema.
Labda leo mechi ya Sudan na Senegal naona Sudan wamenyimwa penati halali na mwamuzi kaenda mpaka kwenye VAR lakini bado kaikataa
angalia vizuri bro hizo zote ni clear penalt,unadhani uganda wana mamlaka gani kuwainfluence marefa?Penye ukweli usemwe. Angalia hata marudio, wali pause kuonyesha mfungaji alikuwa offside.
Penati ya mkono, mchezaji ameruka, mpira umemgonga karibu na bega akiwa amegeuka upande wa pili haangalii mpira.
Nakubali wanacheza kwa bidii na nimefurahi wao kupita kuliko hata angepita SA ila ushindi wa figisu hauna vibe.
goli la kwanza la Uganda linashida gani?Tuongelee mpira. Wasouth siwakubali. Goli la kwanza la wasouth lina shida gani?
Ndani ya 18 mikono weka nyumaPenye ukweli usemwe. Angalia hata marudio, wali pause kuonyesha mfungaji alikuwa offside.
Penati ya mkono, mchezaji ameruka, mpira umemgonga karibu na bega akiwa amegeuka upande wa pili haangalii mpira.
Nakubali wanacheza kwa bidii na nimefurahi wao kupita kuliko hata angepita SA ila ushindi wa figisu hauna vibe.
Jaribu mambo mengine, uku kwenye soka umeshachelewa.Penye ukweli usemwe. Angalia hata marudio, wali pause kuonyesha mfungaji alikuwa offside.
Penati ya mkono, mchezaji ameruka, mpira umemgonga karibu na bega akiwa amegeuka upande wa pili haangalii mpira.
Nakubali wanacheza kwa bidii na nimefurahi wao kupita kuliko hata angepita SA ila ushindi wa figisu hauna vibe.
Pale ni kampuni za betting ndizo zinavuruga mpira!
Hamna. Sikucheki game na sikuwa hata nataka SA wavuke na pia sibeti. Hapa naongelea mpira tu.pole mkuu, inaonekana ulimpa south africa win,