britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nakwambia iliniuma.sanaHii timu iko Dar kila mtu Dar ni mjuaji bora hata ingepelekwa Rukwa huko.
😀😀😀😀😀Hivi yule beki aliyetoa kona iliyozaa goli alikuwa anawaza nini maana hakukuwa na pressure yoyote au aliweka mzigo kwa Mhindi?
Hii timu iko Dar kila mtu Dar ni mjuaji bora hata ingepelekwa Rukwa huko.
HakikaDah hii timu yetu hata wangeambiwa sharti wafungwe ili waende AFCON wangetoa sare. Bongo bado sana sisi yaani tz ni bure.
Dah hii timu yetu hata wangeambiwa sharti wafungwe ili waende AFCON wangetoa sare. Bongo bado sana sisi yaani tz ni bure.
Hivi yule beki aliyetoa kona iliyozaa goli alikuwa anawaza nini maana hakukuwa na pressure yoyote au aliweka mzigo kwa Mhindi?
Hajacheza alikuwa na kadi 2 za njanoKwanini Mbwana Samatta hakucheza?
Yule beki hivi ni nani? yaani ametoa mpira bila hata wasiwasi tena katika situation nyepesi kabisa sasa kama kungekuwa na pressure si anaweza akajifunga yuleWale beki ni wapumbavu Sana,wako wawili under no pressure whatsoever akawapa jamaa kona, then ikaja zamu ya goalkeeper, kama anajua hawezi kudaka mpira anatakiwa aupige mpira uende mbali,au autoe kabisa, yeye akadaka kama embe
Stars ni sikio la kufa ,hawana competitive spirit kabisa, hawaonekani kama ni watu wanataka kitu, .......hata sijui ni Kwa nn napoteza nguvu kuandika kuhusu stars
NakuaigaIlikuwa Tupate draw tu ya bila kufungana au tuwafunge cape verde mwaka 2009 kwa kufuzu AFCON 2010,
Ilikuwa dakika ya 86" nahodha Shedrack Nsajigwa Fuso, akafunga goli Tamu sana, tukashangilia nchi nzima enzi za Macio Maximo,
Nsajigwa alikuwa bado yuko nje anafunga uzi za viatu maana kwenye kushangilia kilichomoka goli likawa limerudi na stars kutupwa nje, maana sare ya moja kwa moja ilikuwa tunatupwa nje,
Tokea muda huo nili sema sitapoteza muda wangu,
Ninatamani hata hizo 50,000 zirudi zikanunue korosho
Na angeweza kupiga NjeHivi yule beki aliyetoa kona iliyozaa goli alikuwa anawaza nini maana hakukuwa na pressure yoyote au aliweka mzigo kwa Mhindi?
Alikuwa na yellow 2Kwanini Mbwana Samatta hakucheza?