Goli Moja Linatosha kutunga Mimba?

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wakuu,naomba tupeane ushauri na uzoefu.Je kwa mtu mwenye uwezo wa kwenda round moja tu wakati wa kufanya mapenzi,anaweza kutunga mimba kwa mwanamke?Au kuna wakati goli moja halitoshi?Naomba tupane uzoefu na utaalamu.Mfano umelenga siku za 11 hadi 17 kwa mwanamama mwenye mzunguko wa siku 28,ukawa unapiga kamoja kila siku,je unaweza kutunga mimba?
 
Ejaculate moja inatosha sana kwani unahitaji mbegu moja tu kati ya mamilioni kutungisha mimba. Labda utoe maji yasiyo na mbegu (azoospermia) au mbegu ziwe na matatizo mengine. Na mara nyingi ejaculate ya kwanza ndio ina mbegu nyingi.

Usije ukakimbia mimba sio yako kwa sababu uliejaculate once.
 
How old are you?
 
Mkombozi hujapita jando? Kungwi wangu aliniambia ili mimba itungwe ni lazima umimine uji kwa masaa matano bila kutoka kiunoni.
 
Last edited by a moderator:
Bao moja linatosha kabisa kutungisha mimba. Kwenya hilo bao moja kuna millions sperms lakini ni sperm moja tu inatosha kutungisha mimba.
 
Moja halitoshi mpaka matatu kwani mawili ya mwanzo yanaenda kulainisha ukuta ili lile la tatu lisipata shida kutunga!!
 
"Jamani nisameheni, nimekaribishwa na leader, lakini natafuta hata pa kureply sioni" nikienda huko naambiwa hadi niwe na message tano!!.
hili sasa ni jibu la kiongozi.
Nashukuru sana, yaani nimerudi shule maana najifunza hata jinsi ya kutumia hii web, sijui ni ushamba wangu au nini, niliisha wahi kujiunga before lakini sikufanikiwa kufika hapa nilipofika leo. Napenda sana hii web na pia huwa naifananisha na Wanabidii sijui ni wamoja au laa. Anyway nafaidika na vitu vingi.

Kalekwa
 
Hivi sekondari siku hizi hakuna somo la 'Biology'? Hat sayansi ya shule ya msingi imefutwa siku hizi?
 
Reactions: ram
Ukistaajabu ya musa..........
Mwanaume anapopizi kwenye shahawa zake kuna mamilioni ya mbegu yanatoka na zinaanza kukimbizana kwenda kutafuta yai, ni mbegu MOJA TU ndo inatunngisha mimba, zingine zikikosa yai zinakufa. So goli moja tu tena haijalishi ni la stahili gani mimba inatungwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…