Goli nyingi? Unataka kumkomoa au unajikomoa mwenyewe.
Labda kama huna kazi nyingine ya kufanya ndiyo utawaza kupiga magoli mengi.
Moja unapoenda kulala. Moja kati kati ya usiku. Moja unapo amka asubuhi. This is healthy. More then this is too much for both of you to bear. And this is done 2 or 3 times a week.