Goli ya kwanza KMC against Yanga match fixing imefanyika

NIMESOMA ILA NILIPOFIKA KWENYE MANENO HAYA Nikaacha mchezaji Yanga anapiga shuti beki mwingine anaokoa, bahati mbaya unamkuta tena mchezaji mwingine wa Yanga.... Hivi inakuaje MATCH FIXING Inahusisha BAHAT MBAYA?


#PUZIKA KWA AMANI LOWASSA KWELI ELIMU INAHITAJIKA BONGO
 
Kmc tumewapa milioni 30 tu watupe magoli matatu, nyie makolo tajiri yenu moo tulimpa milioni 500 ili tuwafunge 5 na kweli ukingalia marudio ya zile 5 utaona namna wachezaji wenu wanavyotutengea mipira ili tuwabomoe.
 
Kilichokuwa kinafanywa na kina Adrew Vicent na kipa haiihitaji akili ya roketi kujua kinachoendelea,match fixing lazima maigizo yafanyike ili isijulikane,aruke pembeni ionekana kalipwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu na chuki kwa Yanga ndio unaokusumbua, mpira wa miguu ni mchezo wa makosa, na ni kawaida kwa wachezaji kufanya makosa na kuadhibiwa. Kipa wa KMC aliokoa michomo mingi sana hadi kupelekea kutaka kumfokea beki wake kwa makosa.
 
Ukiona mtu anaongea hivi ujue sio mzima kichwani "mchezaji wa Yanga anapiga shuti beki mwingine anaokoa, bahati mbaya unamkuta tena mchezaji mwingine wa Yanga kipa anajifanya anaokoa"

Sijui kwanini wanaruhusu watu wajinga wajiunge humu JF
 
Ukiona mtu anaongea hivi ujue sio mzima kichwani "mchezaji wa Yanga anapiga shuti beki mwingine anaokoa, bahati mbaya unamkuta tena mchezaji mwingine wa Yanga kipa anajifanya anaokoa"

Sijui kwanini wanaruhusu watu wajinga wajiunge humu JF
Kuna Mda Mkuuu najiuliza au Milembe wanaruhusu simu siku hizi??
 
Sipati shaka kwa udhaniavyo,kama ni muangaliaji wa mpira lazma mtu akuelewe na akubali,ingawa nilitamani ungeichambua na match ya Simba na Tabora ya mwisho ili kutoa double standard,cha muhimu wapenzi wa football tujue uyanga na usimba kuna muda unashusha quality ya soka letu.
 
Huyu jamaa nina uhakika hajawahi hata kupiga shuti mpira wa karatasi. Anazungumza nadharia kwa vitu vinavyoonekana. We jamaa hujui mpira kabisa halafu unaendeshwa na hisia sana kitu ambacho ni kibaya kikemee kama mwanaume hupaswi kuwa mwepesi ivyo. Shirikisha ubongo wako kwanza
 
Hata Simba walifanya fixing ile tarehe 5 /11 /2023 pale walipokula Kono la nyani🤚🤚🤚🤚🤚
 
Mashabiki wengi wa simba mnaishi na maumivu makali sana kwenye miili yenu. Ndiyo maana hata timu yenu ikishinda, bado mnalalamika. Watu wa ajabu sana nyinyi.

Na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama uliwahi kucheza mpira wa miguu.
 
Maigizo kama yale ya rage fc vs mbumbumbu fc pale tabora..mtu anaruka kichwa beki zote zinamtazama tu..ukitazama vizuri goli la Fredy Kulwa et kipa anazuga boli limempita kando wapambavu wanakuambia mpira ulimgusa beki ukabadiri uelekeo na kumchenga kipa.
 
Pela malalamiko FIFA
 
Fact👋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…