Goli ya kwanza KMC against Yanga match fixing imefanyika

Umesema ukweli mtupu na Watu wa Mpira wa Tanzania na Manguli wa Michezo michafu ya Viwanjani tunajua kuwa Biashara ya Miamala ya Tigo Pesa imefanyika na ukibisha hili huna Akili na umetawaliwa na Unafiki.
 
Mbona huko kwa KMC umeenda mbali sana, hata ile game Simba tunapigwa 5 na Yanga, amini kabisa Engineer aliinunua. Yaani Manula anafungwaje vile? Inonga anacheza amelegea kama mlenga. Chemalon utadhani kaleweshwa gongo, Zimbwe anacheza kama mchezaji wa Simba queen, Chama alikuwa kama Chapati inayokaangwa, Kibu Denis angalau yeye aligoma kuchukua bahasha, Robertinho ndio alinunuliwa mapema kabisa.

Alisikika mlevi mmoja akiropoka.
 
Ukiona mtu yeyote uliedhani ana akili timamu, halafu akawa shabiki kindaki ndaki wa simba au yanga.
Na arguments zake ni kama hizi za mleta uzi basi mtoe kwenye kundi la wenye akili timamu.

Huwa nashangaa sana, humu jf kuna wachambuzi wazuri sana wa mpira ila ubaya ni kua hawawezi kutenganisha mahaba yao kwa hizi timu, wanatumia hisia zaidi kwa simba na yanga.

Vivyo hivyo kwa huyu kijana wa rage nae anatumia hisia tu.

Kuna shabiki wa simba nilikua nacheki nae mechi ya simba na geita alikua anakera mpaka simba wenzie wakamkemea maana alizidi, kidogo tu ooh refa anaihujumu simba ile si faulo, kwake refa hakua na jema kila maamuzi yake anakosoa tu.
Sijui hawa watu huwa wanaenjoy vipi kucheki game aisee
 
Umesema ukweli mtupu na Watu wa Mpira wa Tanzania na Manguli wa Michezo michafu ya Viwanjani tunajua kuwa Biashara ya Miamala ya Tigo Pesa imefanyika na ukibisha hili huna Akili na umetawaliwa na Unafiki.
Kama siku ya tabora vs Simba tu na kama unabisha na hili huna akili na umetawaliwa na unafiki.
 
Mshika kibendera wa mechi ya. Kagera na yanga wamemsimamisha Kadi nyekunduya mchezaji wa. Prison imefutwa ni wazi bahasha zinatembea
 
Kichwani ziro!
 
Basi apewe kombe lake kabisa maana hakuna wa kumzuia Yanga kwa match fixing. Maana hata ile tarehe 5 zile goli tano alizopigwa Kolo nazo ilikuwa match fixing. [emoji2958][emoji2958]
 
Basi apewe kombe lake kabisa maana hakuna wa kumzuia Yanga kwa match fixing. Maana hata ile tarehe 5 zile goli tano alizopigwa Kolo nazo ilikuwa match fixing. [emoji2958][emoji2958]
Goli 5 simba ilizidiwa hamna anayebisha,ila kuweni na aibu kununua game

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli 5 simba ilizidiwa hamna anayebisha,ila kuweni na aibu kununua game

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Simba afungwe goli tano ambazo unaona ni za halali, halafu Yanga ihangaike kununua mechi dhidi ya KMC, unataka kusema kwamba KMC ni timu bora na ngumu zaidi kuliko Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…