Goli!!!

Typhoid

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
226
Reaction score
70
Wanajf naomba msaada wenu! Eti ni goli ngapi natakiwa kufunga kwa siku? Napata shida maana ndo kwanza nimeanza hizi mechi baada ya kuwa bize sana na kitabu. Nina miaka 28 ila sina uzoefu na huyu nilienae ndo wa kwanza kibisa, goli la kwanza huwa linachukua kama sekunde 30, la pili dkk 30, la tatu dkk 40 na yanayoendelea huwa yanavhelewa kidogo.nina uwezo wa kupiga goli kama sana hivi in a single night je ni kosa?
Angalizo....mods mna tabia ya kunibagua sana ninapopost nyuzi zangu naomba hii muiache wasamalia wema wanisaidie
 
Sometime huwa najiwa na mawazo kuwepo na sub forum ya Juniors MMU, maana utoto umetawala sana siku hapa.
 
2come na mambo ya msingi zaidi jb wiser umeona uko makini
 
Sio utoto jamani nina miaka 28, nilichelewa tu kuanZa hizi mechi, wazazi walikuwa wananiasa ila ssa nahisi ndo mda maalumu.
Sometime huwa najiwa na mawazo kuwepo na sub forum ya Juniors MMU, maana utoto umetawala sana siku hapa.
 
dah hongera miaka 28 hujawahi ulikuwa unasoma hapahapa bongo?utabana shule ya msingi,olevel,A level lakin ukufika chuo tu unaachia mwenyewe.
 
dah hongera miaka 28 hujawahi ulikuwa unasoma hapahapa bongo?utabana shule ya msingi,olevel,A level lakin ukufika chuo tu unaachia mwenyewe.

Mhn haya bhana mie sitauliza wewe umeachia primaey au sec nanyamaza kimya!
 
wanawake tunapenda magoli 20 kuendelea.....chini ya hapo wewe ni goigoi.....
 
ndio maana topic zako zinafungiwa na mamods,umezidi kuishi kny dream land,fanya kazi kijana wacha kuwaza ngono...:sleepy:
 
:happy: ndo maana wanafutaga post zako maana sometimes zinakua kama vile ni za kipumba pumba vile
 
Sio utoto jamani nina miaka 28, nilichelewa tu kuanZa hizi mechi, wazazi walikuwa wananiasa ila ssa nahisi ndo mda maalumu.
ndo nyie mnaokuja kuwa magube gube...we siku zote hizi unasingizia wazaz, walikufungia na kufuli gan lisilovunjika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…