Golikipa wa Simba Abel Dhaira Afariki Dunia

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
DHAIRA AFARIKI DUNIA, NI BAADA YA KUSUMBULIWA KWA KANSA YA UTUMBO


Kipa wa zamani wa Simba na Uganda ‘The Cranes’, Abel Dhaira amefariki dunia leo nchini Iceland alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mitandao mitatu ya michezo ya Uganda ukiwemo ule wa Kawowo.com imetangaza kifo cha kipa huyo aliyekuwa akisumbuliwa na kansa ya utumbo.
Dhaira amefariki akiwa na umri wa miaka 28 na Januari mwaka huu ndiyo aligundulika kuwa na ugonjwa huo.
Hadi mauti yanamkuta alikuwa bado ni kips wa IBV Vestmanaeyjar ya Iceland.

PUMZIKA KWA AMANI DHAIRA


 
Yes, nimeona hiyo habari BBC Sports. Pole kwa familia zilizompoteza; Familia yake & Familia ya mpira.
 
Daaah inahuzunisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…