Golikipa wa Simba Agyei vipi?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Alipokuja huyo golikipa wa Ghana tuliambiwa anachezea timu ya taifa na aliwazuia Brazil kombe la dunia sasa nawauliza mbona hajaenda kwenye Afcon? Au tulipigwa changa la macho hao ndio viongozi wa simba
 
alipokuja huyo golikipa wa Ghana tuliambiwa anachezea timu ya taifa na aliwazuia Brazil kombe la dunia sasa nawauliza mbona hajaenda kwenye afcon?au tulipigwa changa la macho hao ndio viongozi wa simba
Subiri Sembo aje. Mzee wa takwimu za mnyama.
Akili tu ya kawaida, mlinda mlango wa Black Stars aje kuchezea matope Bongo?
Labda dunia imekengeuka!
 
Alicheza za kirafiki aka ndondo za taifa kidogo kashuka kiwango na hata timu za Ghana hawezi pata. Matope FC.
 
Ni kombe la beach soka ndio alichezea timu ya taifa but ata kwenye benchi hakukaa
 
Upumbavu huwezi kuuficha kwa uzushi.Golikipa Agyei hakuwa golikipa wa Black Stars alishawahi kuwa golikipa wa timu ya taifa ya vijana iliyocheza na Brazil kwenye World Youth championship under 20 iliyofanyika Misri 2009 na Ghana kuwa mabingwa kwa kuifunga Brazil kwa penalti ,Agyei akiwa kipa. Mvimba macho mwingine anadai hakuwa na timu huko Ghana wakati alikuja Tanzania na Medeama na pia alicheza huko Afrika kusini akiwa na Freeman State.
Kwa maneno mengine ni golikipa aliyewahi kutwaa kombe la dunia under 20 mwaka 2009 huko Egypt.
 
Ghana ina magolikipa wengi sn na isitoshe huyu kipa hakuitwa kutokana na kucheza mechi 4 tu hapa tz
 
Subiri Sembo aje. Mzee wa takwimu za mnyama.
Akili tu ya kawaida, mlinda mlango wa Black Stars aje kuchezea matope Bongo?
Labda dunia imekengeuka!
Mbona beki wa Togo anacheza ligi ya bongo nakaitwa kwenda Afcon
 
alichezea timu yake ya taifa kwenye Kombe l Dunia la vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu (watoto watukutu, au watoto wa mitaani, au panya road).


-dg
 
kuna mtaa wa ghana pale karia koo.....labda aliichezea ile klabu ya mtaa ule .
 
Hilo ni shati tu kama Angban ambaye tuliambiwa katoka timu ya vijana ys Chelsea.
 
Subiri Sembo aje. Mzee wa takwimu za mnyama.
Akili tu ya kawaida, mlinda mlango wa Black Stars aje kuchezea matope Bongo?
Labda dunia imekengeuka!
Point ni kua.. Daniel Aggrei ni one best and respected goalkeeper kuwahi kushuhudiwa nchini Ghana.. Akiwa katika milingoti miwili, aliiwezesha Ghana kutwaa kombe la dunia mbele ya Brazil inayoongozwa na kina Neymar.. what a player??! Suala la kwanini hayupo AFCON ni la kocha.. ila Daniel hakuna wa kuchukua namba yake katika timu ya Taifa.. Yanayomkuta ni yale yale ya Juma Kaseja na Maximo.

cc wakimataifa.
 
Shule zimeshafunguliwa?Na miss kulumbana na wapenzi wa kweli wa Yanga.Hawa wavimba macho hawajui hata wanachangia nini.
 
Chai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…