Golikipa wa Ukweli.

Golikipa wa Ukweli.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
DSC05391.JPG
 
yap golikipa tunae!

Last edited by a moderator:
Kitambi hicho...michomo mitano kaachia..hiyo ndo itampa jina kimataifa.
 
Hebu iwekeni ya na goli kipa wa Brazil halafu tuwalinganishe! Tatizo vijana wetu hawana mazoezi ya kutosha, minyama uzembe imewajaa halafu wanataka wapambane na Brazili ambao ni wepesi mno. Tena jana Brazil hawakuonyesha mchezo wa juu maana wangefanya hivyo kila mchezaji wa Stars angeondoka uwanjani na goli lake na la mkewe/mpenziwe. Anyway, naamini mchezo huu utakuwa ni changamoto kwao ili wajifunze na kuimarisha zaidi mbinu za kimchezo. Si haba! Ila hizo bilioni zilitimia? Uwanja ulikuwa dorooo kabisa, au wadau walichelewa kwa sababu ya foleni kubwa jana!
 
Magoli yote ya Brazil hayakuwa ya juhudi yalikuja by the way to.........naona wemetustahi tu......tungetafutana kwenye historia haki ya nani!
 
Huyo kipa ameridhika na mshahara,ndio maana full kitambi anashindwa hata kufuata mipira
 
yaani huyu golikipa anastahili viboko vya yule mkuu wa wilaya..... magoli aliyofungwa niya kizembe kabisa hajitumi uwanjania wakucharaza viboko
 
Naskia Ngasa ni man wa game
Ngassa – 8.5 – Arguably the best player on the field and certainly the pick of the home players. Hard working, effervescent and dangerous, all the Young African star lacked was a killer touch, though he did muster several good efforts that were saved by Gomes. A really impressive performance.
 
One thing he is selfish on penetration pass
 
Stars tuna tatizo la kipa na washambuliaji otherwise timu iko poa sana

Hivi ni kwamba nchi nzima hakuna washambuliaji au?
makipa wapo ila wana bifu na kocha pamoja na viongozi wa TFF.
 
huyo kipa ni sifuri, wanajali miili mkubuwa wakati ufundi zero..si bora hata kasema mfupi....kila wakati anatuangusha, nakwambia hata mapunda ingekuwa bora kuliko uyu jamaa.
 
Back
Top Bottom